KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI) SEHEMU YA 21
ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA 20: “mamaaaaaaaa! inaumaaaaaaa” lakini Edgar kama vile hakuwa na masikio aliendelea kupakaza ile spiriti kwenye kidonda cha Monalisa akiwa bado ame ukamata kwanguvu mguu wa binti huyu mrembo, baada ya kuona inatosha akaachia, “mshenzi wewe umefanya makusudi” alisema Monalisa huku akifuta machozi usoni mwake, “makusudi vipi, kama ungeteaka isiume, unge weka mikojo yako endelea ..........
Alisema Edgar kwa sauti kavu, huku akimfunga bandeji kwenye kile kidonda, huku Monalisa akimtazama wa hasira, na mshangao, wa kauli aliyo itoa kijana huyu, “lionekwanza, linaona sifa, wakati mwenzio naumia” alisema Monalisa lakini safari hii Edgar akumjibu, zaidi alimaliza umfunga, kisiha aka anza kuvalisha kiatu chake, “niache nita vaa mwenyewe” alisema Monalisa huku akipokonya kiatu mkononi kwa Edgar, na kuanza kujivalisha mwenyewe. Edgar alisimama pembeni akivaa kibegi chake na kuokota bunduki yake, akaishika mkononi nakuanza kuikagua.
Kumbe basi mita kama mia tatu nyuma yao, wakiana PC Khassim na askari wake ambao sasa alibakia nao kumi, walisikia sauti ya kilio cha Monalisa, hapo wakapeanza ishara ya kuongeza mwendo kuwai kule ilikosikika sauti, ya kilio cha kike, ambacho walihisi kuwa itakuwa ya Monalisa, japo hawakujuwa chanzo cha kilio kile, lakini wazee kazi walizidi kusongambele huku wakitawanyika kwenye lile pori, na bunduk izao mkono tayari kushambulia, endapo wata mwona kijana Edgar pasipo kujari usalama wa binti walio dai ametekwa na kijana huyo.
huku nao waki hwajuwi kuwa, hatari hipo karibu yao, Monalisa aliendelea kuvaa kiatu cheke, huku akinyesha wazi kutawaliwa nahasira, kutokana na mambo yaliyotkea na jibu la Edgar, “mkojoooo, mkojo ulinipa wewe?” alisema Monalisa akimaliza kuvaa kiatu, na kuanza kujiinua kwa shida, ili shusha mguu wa suluali yake, Edgar aka mpa mkono ili kumsaidia, lakini Monalisa, aka uchunia,yani akuujari inamaana hakuitaji msaada wa Edgar, Edgar nae akujari aka tulia na kuendelea kumtazama binti huyu akighaili kujiinua na kuamua kuikunjua suluali yake akiwa amekaa chini, Edgar alitabasamu kimoyo moyo huku anawaza, “yani upeleke barua yagu, kwa mama yako, alafu uniambie eti ujinga wangu?” wakati Edgar anawaza hayo, Monalisa nae alikuwa anawaza ya kwake, “unanipakaza midawa mingi makusudi, alafu unajidai eti ujawai kunichukia?”
Wakati wanawaza hayo, mala ghala wasikia paapapapa! wote kwa pamoja, wakatazama upande ilkotokea sauti hiyo ya mabawa ya ndege, ikiambatana na kwakwakwaaaa! waliona kundi la ndege, aina ya kanga, likiruka kwa pamoja, toka kwenye vichaka, vilivyopo pembeni ya mto, umbali wa mita mia kutoka pale walipo nikama lime kurupushwa na mnyama mkali, hapo wawili awa wakatazama, kisha kwa ghafla Monalisa, akanyoosha mkono, “niinue” aliongea kwasauti yauoga Monalisa, na Edga akaudaka mkono wa Monalisa, ambae moja kwa moja alikimbilia nyuma ya Edgar, aliekuwa ametazama upande ule walikotokea, na ndio upande ambao wale ndege aina ya kanga walikuwa wame ruka, “wame tukuta, Monalisa kimbia mbele haraka, vuka mto” alisema Edgar, huku akiinua bunduki yake kuelekeza kule alikokuwa anatazama, yani kwenye kichaka walikoruka kanga, ambacho sasa kilionekana kinacheza cheza, kujullisha kuwa kulikuwa na watu wengi kihasi ndani ya kile kichaka.
Monalisa pasipo kuyasikia tena maumivu ya goti, sijuwi yaliisha kweli au uoga, alikimbia kwanguvu kama alivu elekezwa na Edgar, akavuka mto na kupandisha upande wapili akita pembeni ya mawe makubwa, kisha kuigia kwenye kichaka nje kabisa ya mto, kisha akajificha na kutazama kule alikomwacha Edgar, pasipo kujuwa kuwa, ata kama sita nyuma yke kulikuwa na panya wawili wali kuwa wana jitafutia chakula, na walikuwa wanaelekea upande huu aliojibanza Monalisa mwenyewe, ambae aliendelea kumtazama Edgar, akamwona tayari kijana huyu, alianza kurudi nyuma nyuma, na kwenda kujibanza nyuma ya jiwe moja kubwa sana, mle mle alimo pita yeye Monalisa, huku bunduki yake ameielekeza kule waliko tokea, na ghafla akawaona askari polisi wakitokeza kwenye vichaka upande ule ule walioona kanga wakiruka, ni mita hamsini tu! toka alipojificha Edgar, wakiwa na bundukizao tayari kwa lolote, kwa hakika Edgar endapo angeinua ata kichwa tu! habari yake ingeishia hapo hapo, na sasa wale askari waliendelea kutembea wakija huku alikojifiicha Edgar.
Hapo Monalisa, akamwona Edgar akiiweka vizuri bunduki yake, aliyo ielekeza kule walikokuwa polisi wale, “sijuwi anataka kuwalipua tena?” alijiuliza Monalisa, alie kuwa anamtazama Edgar,
Nikweli Edgar aliekuwa nyuma yajiwe, mita chache tu! toka walipo polisi wale, alijuwa kuwa hakuwa na ujanga wa kujiondoa mahali pale, na endapo watamwona, basi mvua ya risasi ita mshukia, hivyo njia rahisi kwake ni kutumia mbinu ya fire power covering, in movement, (maficho ya nguvu za mapigo na mwendo) na sasa Edgar aliwaona wale polisi wakizidi kuja upande alio kuwa yeye, huku wakiwa kama wame pungua kasi, nazani nikutokana na kuto kuwaona walio zania watakuwepo maeneo haya, yani Edgar na Monalisa, na kweli sasa wakasimama kabisa, “au tulisikia vibaya afande?” aliuliza askari mmoja kati ya wengi walio anza kujikusanya sehemu moja ilikujadiliana, pasipo kujuwa ku nikosa kubwa sana kivita, hapo Edgar akatabasamu, akijuwa kuwa atolazimika kumwaga damu zaidi, endapo wale polisi wataishia pale. “lakini ile sauti ilisikika kabisa tena ikitokea huku huku” alisema PC Khassim,huku aki geuka geuka kutazama huku nahuku, pengine angeona dalili ya uwepo wa mtu eneo lile, “hivi mkuu itakuwaje kuhusu chakula maana, tumeshamaliza mikate yote” aliuliza mmoja wa askari polisi walio kuwa wamemzunguka pc Khassim, “lazima afande Mapombeka atakuja na chakula chamoto, jioni hii... sasa inabidi tutafute sehemu yenyemwinuko, ilitupate mawasiliano ya redio” alisema PC Khassim huku anatazama kama anaweza kuona njia ya kutokea hapa mtoni, “turudi hapo nyuma kidogo niliona kama kuna kimwinuko upande wa kushoto” alisema PC Khassim, kisha wote waka onekana wakigeuka na kuanza kurudi walikotokea, Edgar akahamini kuwa tayari wamesha salimika.
Lakini aikuwa hivyo, kumbe Monalisa akiwa mejibanza pale kwenye kichaka akiwatazama polisi na Edgar kule chini, ambapo aliwaona polisi hao wakigeuka na kuondoka zao wakirudi walipotokea, lakini ghfla aka pitiwa na panya, karibu na miguu yake, ile kutazama na kumwona yule panya, Monalisa aka stuka sana kupiga kelele kwa uoga, “mama nakufaaaaa” hapo wale askari wakageuka na kutazama kule aliko kuwa Monalisa, ambapo walimwona Monalisa akianza kukimbia ovyo kushuk ahuku chini alipokuwepo Edgar, polisi nao awa kuchelewa wakainua bundukizao wakizielekeza kwa Monalisa, Edgara nae alishuhudia kitendo ile na alijuwa fika akizubaha abampoteza Monalisa, hivyo kitendo bila kuchelewa, akanza kuwa shambulia wale polisi tena safari hii, alizamiliia kuwapoteza wale polisi, akiamini kuwa ndio njia pekee ya kumsaidia Monalisa.
Akiwa ajatoa nafasi kwa polisi kumshambulia Monalisa, Edgar aliachia risasi mfurulizo kuelekea kwa wale polisi, ambao kufumba na kufumbua walw polisi walitawanyika ovyo ovyo, na kukimbilia vichani huku, huku polisi sita wakianguka pale pale, kati yao wanne wakiwa wamepoteza maisha kabisa, huku Monalisa akijizuwia kwa nguvu kuporomoka, maana alishagundua kuwa alikw amefanyakosa kubwa sana, kumimbia panya, na kujitokeza kwa watu wabaya zaidi ya simba.
Lakini ndani ya sekunde kadhaa, tayari polisi walisha potelea vichakani, na Edgar alisha mwona akiwa anaangaika kwenye kale kamseleleko, hivyo akainuka pale nyuma ya jiwe na kumkimbilia Monalisa, alafu aka mshika na kumpa msaada wa kusimama na kurudi walikotoka, na kukimbilia porini zaidi, huku nyuma yao wakisikia vilio vichache vya majeruhi wa risasi.
Baada ya kujibanza kwa dakika kadhaa, ndani ya vichaka, na kuakikisha kiuwa papo kimya na mbwa Edgar amesha ondoka mahali pale, ndipo wakaanza kujitokeza kwa tahadhari, na kuwakagua wale walio shambuliwa, ambapo waligundua askari wao wanne tayari walisha poteza maisha, na wengine walikuwa wamesjeluhiwa, sehemu mbali mbali za miili yao, hapo askari wanne walibakia walijikuta wanashikwa vichwa vyao, kwa butwaa na fadhaha, huku PC Khassim akianza kufanya utaratibu wa kuwasiliana na wenzao ili wafanya mpango wa kuwabeba maiti na majeluhi,*******
akiwa hajuwi lolotem linalotokea kule polini, koplo Mapombeka baada ya kufikisha majeruhi marehemu, Makambako mjini, akaambiwa ampeleke yule majeruhi, Njombe kwenye hospital ya kibena, ndio ospital kubwa katika wilaya hii, nae akamwamulu dereva, aondoe gari, kuelekea Njombe, pamoja askari wake, ni mwendo wa dakika alobaini na tano, kwa speed ya kilomita mia kwa saa, hivyo lisaa limoja baadae tayari Mapombeka alisha maliza kukabidi mgonjwa na kuanza kurudi makambako, kwaajili ya kuchukuwa chakula cha kupeleka kwa askari kule porini, “lakini mbona naona hili swala linakuwa tofauti sana?” aliuliza Maombeka, wakiwa safarini kurudi Makambako, na alietakiwa kujibu ni dereva wake, ambae alikuwanae kule mbele, ya kichwa cha gari, “kivipi afande?” dereva nae akauliza, nazani ndilo jibu sahihi, “unajuwa jana inshu ilikuwa ni yule kijana jambazi toka songea, akauwawa tukajuwa kuwa yamekwisha, lakini baadae tukasikia kuwa, kuna mwenzie bado anatafutwa, tena wakike, kabla hatuja mkamata huyo wakike ikageuka, ikawa yule mwamke ametekwa na jambazi ni mwaume” alielezea Mapombeka, na yule kijana dereva akachangia nakutoa dukuduku lake, “alafu afande walisema yule kijana amemteka yule demu, sasa mbona anaamrisha wote washambuliwe?” ukweli hayo maswali yalikosa jibu kwa wawili hawa, “ebu kwanza tuwe wapole mpaka tuone mwisho wake,” alishauri koplo Mapombeka, *******
Saa kumi na moja jioni, ikiwa inaelekea saa kumi na mbili, maeneo ya madaba, katika barabara ya Songea Njombe, kilomita zaidi ya mia mbili, yalionekana magari mamwili ya polisi yakitembea kwa mwendo wa kasi sana, huku nyuma ya magari hayo wakionekana askari wakiwa na mabegi yao na silaha zao, wakiona ona jinsi magari hayo ya polisi yalivyo kuwa yakifukuzana, kuelekea Njombe, huku gari alilopanda SSP Kingarame likiongoza, “kosa hii safari, usiku waleo ilibidi nikatize maisa ya mjinga mmoja” alisema Kingarame, akiwa yeye na dereva wake mbele ya gari hili, ambalo lilikuwa speed ya hajabu, “nani tena mkuu?” aliuliza dereva wa bwana Kingarame, anae fahamika kwa jina la Hokololo, “siyule mshenzi alie kuwa ananisumbua pale nje ya ofisi” alisema kwa dharau Manase Kingarame, “ok! niyule mpuuzi wa jeshi la ulinzi” alisema Hokololo, huku akiendelea kukanyaga pedor ya mafuta, kuiacha Madaba, na kuanza kuitafuta lukumburu, huku gari la nyuma yao nalo likiwafwata kwa speed ile ile, “huyo huyo mpuuzi, ajuwi kule tanga nilihamishwa kwajiligani?” alijtapa Kingarame akiamini kuwa yeye nizaidi ya Kisona, alie kuwa anamzungumzia, “sasa mbona inshu ndogo sana, wakina Basso, si wapo songea, watafute vijana wachache wakazi wakiraia, ili wakamalize kazi nyumbani kwake” alisema Hokololo Dereva ambae alihama toka tanga, pamoja na boss wake, Kingarame, “nikweli bwana, tutasimama Njombe, ili niwasiliane na Basso, akaifanye hiyo kazi” aliongea Kingarame, pasipo kujuwa kuwa kilomita miamoja nyuma yake, gari moja aina ya land Rover 110, mali ya jeshi la ulinzi, lilikuwa lina kuja mbio sana, ndani yake kukiwa na wanajeshi wa saba, wakiongozwa na kanal kisona, wakiwawamebeaba bundukizao aina ya SMG, na mabegi yao, pia na mwanajeshi mstahafu mmoja alie kuwa anaendesha gari hilo, akiwa amesha ahidi kwa mke wake anaenda kurudi na kijana wao yani Edgar Mbogo,
“mzee bado hupo vizuri kwa uendeshaji wa gari, yani dakika alobaini na tano, tayari tuna vuka kibao cha kilomita mia na therathini,” alisema kanali Kisona kwa mashangao, huku koplo Katembo nae akichangia, “afande nazani ukuwai kushuhudia huyu mzee, akiendesha gari kwa safari ya mbali” wote wakacheka kidogo, ata mzee Mbogo nae akacheka kidogo, “unajuwa niliona umuhimu wa kuendesha gari kwa speed mwaka 1980, mwezi wa kumi, nikiwa nawai kufunga ndoa, huko kilimalondo, pembezoni kabisa mwa mji wa nachingwea, sikumoja kabla saa kumi jioni ndio nilikuwa naingia mjini kutoka dara es salaam, ni nikilomita zaidi ya mia tatu, toka hapo mjini, na mbaya zaidi ni barabara ya vumbi, tena chafu aswa, ndipo nikabahatika kukutana na Padre LODRIC Deus, ambae aliwai kuwa mwalimu wangu pale Ndanda Sekondary, akaniazima gari lake land rover 109 short chases” alisimulia mzee huyu kisa ambacho uwa anakikumbuka sana, na ndio chanzo cha kupenda kumiliki aina hii yagari, ambalo paka sasa analimiliki, “ok! endeleza story mzee Mbogo” alisema Kisona huku wengine wakiunga mkono, ikionyesha walivutiwa na mkasa ule wa safari ya harusini, basi mzee Mbogo aliendelea kusimulia Mkasa wake huku akizidi kukanyaga mafuta kuitafuta madaba.
Wakati huo huo watusita na dereva wao walikuwa wanaaza safari yao, wakiwa ndani ya gari aina ya Nissan patrol, huku wakiwa na mabegi makubwa makubwa, utazani wanaenda kukaa mwezi mzima huko waendako, hawa mle ndani ya Nissan arufu mbaya ya mchanganyiko wa pombe ilitawara, mpaka wanafika maeneo ya msamala, tayari robo tatu ya abiria waliopo ndani ya gari hili walikuwa wamesha anza kulala, kutokana na kuzidiwa na pombe ambayo waliona ni msaada kwao, eti inawasahaulisha mawazo ya kutekwa kwa Monalisa, kasolo mama Monalisa, na dereva pekee ndio walikuwa macho.******
Sajent Kibabu aliona dunia ina mwelemea, ni baada ya kuona miili ya askari wengine wanne, tena mmoja akiwa ni askali wake, kutoka songea, wakiwa wamepoteza maisha, ambayo sasa ilisha sogezwa barabarani, yani barabara ile ya vumbi, “huyu mtu nikimkamata akika atakufa kifo kigumu sana, ajawai kufikilia” aliwaza kibabu kimoyo moyo, huku wanageuka kutazama upande wa mjini, ambako ulisikika mvumo wa gari ukija kwa speed kari sana.
basi kwa kifupi kazi ikawa ile ile, nikushusha chakula, na kupakiza majeruhi na wagonjwa na safari hii wakipelekwa Njombe, na siyo Makambako, huku jua lilizidi kuzama upande wa magharibi, maana ilisha timia saa moja kasoro,
Akiwa mesha agiza mafuta na vitu vingine vitakavyo wasaidia kwa maisha ya kule polini, sajent Kibabu alisindikiza gari lile kwa macho mpaka lilipo tokweka, baada ya kuakikisha gari lile limesha ondoka, sajent Kibabu aka waita askari wote waliobakia, ambapo sasa walikuwa kama kumi na nne jumla yao, “usiku huu hawa vijana hawana uwezo wakwenda popte, zaidi watazidi kupotea, sababu wote ni wageni” alisema Kibabu uku askari wake wakimsikiliza, “kwahiyo tule isha tuanze kujipanga vizuri kuakikisha hwarudi na kuivuka hii bara bara, maan ndio alama yao kubwa ambayo inaweza kuwarudisha mjini” ******
Wakiwa kama kondoo wali potea machungani, Edgar na Monalisa wakiwa ndani kabisa ya msitu huu ambao ulizidi kuwa mnene kila walipozidi kusonga mbele, walitembea taratibu huku matumbo yao yakiwa ayatamaniki kwa njaa, “hivi Edgar bado mkorofi kama zamani” aliuliza Monalisa, ambae alikuwa ameung’ang’ania mkono wa Edgar, kwanguvu ikiwa kama msaada wake katika kutembea, “lakini sikuwai kukufanyia ukorofi” alisema Edgar, kwa sauti kavu ambayo aikuwa na mbwe mbwe yoyote, “lakini leo umenifanyia ukorofi” alisema Monalisa kwa sauti ya lawama, “ukorofi gani?” aliuliza Edgar huku akisimama na kuangalia upande wapili wamto, yani upande wao wakushoto, “si umenitukana, umeniambia ni weka mkojo wangu kwenye kidonda changu” alisema Monalisaakitarajia kuombwa msamaha, na Edgar, lakini akukuwa na dalili yoyte, zaidi kijana huyu, aliendelea kutazama upande ule aliokuwa anatazama, “Eddy mbona unijibu?” aliuliza Monalisa, baada yakuona kuwa Edgar amjibu, Edgar akamtazama Monalisa, kwa namna flani ya utulivu, “Mona, ujuwe nawaza juu yaw ewe utakula nini leo mana toka asubuhi ujala kitu” alisema Edgar kwa sauti flani tulivu sana, ungesema anamweleza mpenzi wake, Monalisa akatabasamu, “kumbe unahurumia hen?” alisema Monalisa huku anacheka cheka,
Edgar alikuwa ameshaona kitu kama moshi hivi, mbele yao, lakini ni upande wapili wa mto, “lazima pale kuna watu, hivyo tunaweza kupata chakula” alisema Edgar, huku akionyesha kwa mkono upande hule wa pili wa mto, nikama mita Elfu moja na miatanon au elfu mbili, toka walipo kuwepo, “kweli naona kunamoshi” alisema Monalisa, huku nayeye akitazama upande hule, alikoonyeshwa na Edgar, hapo waka anza kutembea kufwata uelekeo wa kule kunakofuka moshi, huku kibaridi kikianza kuchamanda taratibu, “eti Eddy bado unanipenda kamazamani?” swali la Monalisa lili mstua Edgar, ambae aligeuka na kumtazama Monalisa,ambae anae alikuwa amemkodolea mach huku anatabasamu, “sijawai kukuchukia ata sikumoja,” alijibu Edgar, “basi nipe Jacket lako nasikia baridi” itaendelea h
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments: