UKITAKA KUISHI NA MWANAMKE MUDA MREFU FANYA HAYA
Narudia tena hawa Viumbe hawaeleweki siku zote,
Mwanamke hana kitu kumfurahisha mda wote, wala hana kitu asochokipenda mda wote.
Ukitaka kuishi na hawa Viumbe, kichwani mwako ondoa neno "why" (kwanini) .
Furaha na huzuni ya mwanamke hutokana na Emotions, Mwanamke utamfanyia mema yote, lakini siku ukimkosea hatokumbuka yote uliyomfanyia,
Siku zote maamuzi ya mwanamke hayana uhalisia
Kamwe usigombane wala kujibizana na mwanamke, Mwanamke akihitaji breakup , we mpatie na nauli kabisa, usianze kumsihi asiondoke, Ukimbembeleza utampoteza,
Ukimpotezea utampata.
Hii ni kutokana na uzoefu nilioupata baada kulia lia na hawa Viumbe.
Never reason, if you want healthy relationship!
Kama unapinga fanya kinyume chake.
Women are complex! Tuishi nao kwa akili.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: