Penzi la Esma, Petit la mwendokasi
WANANZENGO wanasema eti wanandoa walioachana na kisha kurudiana, Esma na Petit safari hii penzi lao limekuwa na kasi kama ya mwendo kasi. “Yaani hii ni hatari, wenzetu utadhani ndiyo wamejuana leo kwa jinsi walivyofufua penzi lao, watu hatunywi maji mh! Hili penzi safari hii ni la mwendokasi,” alichangia mdau mmoja mtandaoni anayejiita Kidani.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: