NAOLEWA TU KWA SABABU NINA MIMBA YAKE ILA SIMPENDI


Nipo chat room ya one of social media.........nimemeet na binti mmoja rafiki yangu sana wa enz izo za kombolela kijijini

bint ni mjamzito sasa na mipango ya ndoa inaendelea.........katka kumdodosa anadai hakumpenda jamaa ila tu anaolewa kwa ajili ya ujauzito wake aliobeba na kutunza heshima yake na familia........what a looser

nimejaribu kumshauri ni bora akapange nyumba aishi na mwanae rather than comitting such a serious comitment with a fake heart..kagoma katakata


vikao vinaendelea pale msimbazi center vya sendoff August.....mfike bila kukosa Jumapili saa tisa unusu na michango yenu....mwisho wa mwezi huu


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.