KWANINI MTOTO WA KIUME NI RAHISI KUSAHAU NYUMBANI KULIKO WA KIKE
Habari wapendwa, poleni na majukumu.
Naomba kuuliza ni kwanini baadhi ya watoto wa kiume wakishaondoka nyumbani kwa kuwa na familia yake au kuishi peke yake, huwa inakuwa vigumu kukumbuka nyumbani ukilinganisha na watoto wengi wa kike ambao mara nyingi hukumbuka nyumbani?
Toa Maoni yako
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: