Jux " Vanessa Aliniambia Inabidi tu Tubreak Up..Pastor Wake Alimwambia Mambo Yake Hayaendi Kwa Ajili Yangu"

Jux aelezea DM aliopata kwa binti akimlaumu kwamba alim treat @vanessamdee vibaya ila kwa watu ambao hawajui, tumekaa miaka 5 katika mahusiano lakini sababu ya kuachana ni yeye nasema ukweli kabisa Vanessa aliniambia, Iakini im being selfish ila inabidi tu break up , aliongeza pia alimwambia Pastor wake wa kanisani alimwambia Mambo yake hayaendi na mwanaume aliekuwa nae labda anaeza kuwa ndio chanzo, kwanza dini na mambo yake kutoenda ni kama waswahili wasema gundu hivyo aliamua kusali na kuendelea na mambo yake kama mwanamke , sasa sijui kosa langu nini au ubaya wangu nini ,  aliendele kusema ya kwamba kwa umri wa vanessa umri wake mkubwa unaenda anahitaji husband, hivyo peacefuly walikubaliana ila tatizo lilikuja pale ambapo mimi "Jux" nilipo move on ndio maneno kibao yakaanza, i treated her good i played my part na namtakia kila la kheir aolewe niko fresh tu, kuhusu Mpenzi wangu Nayiika Yupo na bado tupo ila sasa hivi na focus zaidi na muziki wangu ila soon ntakuwa nae na ntakuwa na ka baecation yangu soon mtamuona Mama najua Mme Miss , #Source XXL


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.