HILI LIMEKUWA JARIBU KUBWA SANA TOKA KWA WIFE, ANATAKA KUNIUA
Wife ana shughuli zake za biashara, sasa kutokana na kuwa nami nakuwa busy na mambo yangu, mara nyingi huwa hata siulizi pesa zake anafanyia nini.
Tuna magari mawili. Yeye dogo, mimi kubwa kiasi flani, SUV. Kutokana na kuwa huwa sifuatilii mambo madogo madogo hasa kuingilia biznesi yake, basi nadhani ana-take hiyo kama advantage.
Jana nimepigiwa simu na watu nsiowafahamu wanasema mbona mwezi ulioisha sijaingiza pesa kwenye account bila taarifa. Nlishaangaa na kudhani ni matapeli. Mwishoni wakasema wao ni watu wanaokopesha pesa mtu mwenye jina xxx xxx (jina la mke wangu), alienda kukopa kwao mill 15.
Aliwapelekea card ya gari. Wadau hilo gari lina thamani mara nne ya hiyo pesa. So wanataka wapewe pesa yao ama sivyo riba itaongezeka.
Nlishangaa na kuwaambia I will get back to them after sometime; nlikuja muuliza wife akasema ni kweli alipeleka card ya gari langu kuchukulia mkopo, na ya kwake pia alichukulia mkopo. Akaongeza mzigo and blah blah blah...
Toka jana nimepatwa na mshtuko moyoni coz ni kitendo ambacho I never expected from her - why afanye hivyo? Na je, kisheria hawa jamaa siwezi washtaki? Maana card ya gari inasoma jina langu but mi sijaingia nao mkataba wowote. Huu si wizi?
Deni wanasema limebaki mil 9.7 na mimi nataka alipe wife maana she didnt tell me anything about mkopo, na tayari nmeshamlipia vitu vingi. Hiyo gari yake nimemnunulia mwaka huu April, tena kwa kumbadilishia from Mark X to Harrier.
Naona mwishowe ananiona mimi fala. Why akopee kadi ya gari langu? Hili jambo toka jana pressure ipo juu, nawaza na kuwazua, why tena mambo haya yasiyo na msingi.
JF

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: