Aunty Ezekiel achoshwa na watu wanaomponda Wema kujikondesha


Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Aunty Ezekiel ameshangazwa na mashabiki wa Wema Sepetu kwa kumshambulia mrembo huyo baada ya kupunguza mwili wake.



Akiongea na Bongo5, Aunty amesema kuwa mwanzoni watu hao wanaoponda walikuwa wanamuita Nyumbu kutokana na muonekano wake sasa hivi kajikondesha wanamponda tena.

Kwa upande mwingine, Aunty amesema kuwa kwa sasa anatamani sana aongeze mtoto  mwingine na mpenzi wake mpya, Hii ni baada ya kuachana na mzazi mwenzie densa, Mose Iyob
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.