KINA DADA;KAMA UNATEGEMEA NDOA KWA MTU KAMA HUYU JUA UNAPOTEZA MUDA
Kama upo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye karibu kila siku anakuomba pesa wala hata si pesa nyingi kihivyo kiasi cha kukufanya ushtuke unaibiwa,,hapana atakuomba elfu kumi,,atakuambia umeme umeisha,,mara nimekwama hili au kile,,huyu hata ukimnyima hajasiliki ila atajifanya kama kapoteza mood kutokana na tatizo alilokuombea pesa,,
Kwa mfano alikwambia nina shida ya elfu ishirini mama anaumwa,,basi kama ukimwambia huna atakuwa haoengei vizuri na ukimuuliza kwanini hauko sawa basi atakwambia hali ya mama inanichanganya,,mwingine analazimishia hata umpe lakini wengi ni wajanja,hawalazimishi,ila atajifanya kapoteza furaha mpaka mwenyewe utanisikia vibaya,,utajiona kama shetani kumnyima,,
Kahela kenyewe kadogo tu,elfu hamsini,sasa si ulishamzoesha,,kwasababu mwanaume kama huyu anajua kuongea bwana,,hatoi pesa ila anavyojali yaani mpaka nywele zinakusimama,,anapiga simu,,anachati na wewe,akiwa online ukituma meseji anakujibu,,anakujulia hali na anakudekeza kwa maneno,,sasa maneno yake mara nyingi yanaelekeza kuwaza ndoa,,hakuambii moja kwa moja anataka kuoa ila atakuambia"Huu mwaka lazima nioe,namiss tuwe sehemu moja,nikiwa na wewe nawaza kutengeneza familia tu,inabidi nijipange nikikamilisha kitu fulani tu naona"dada yangu najua kutokana na anavyojali,hujawahi kumfumania hata mara moja huwezi kuwa kuamini kama unaigiziwa,,dada kama una mwanaume wa aina hii basi tambua kuwa huyo ni msanii balsa na hafai kuwa nae maana atapoteza muda wako tu.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: