KAMA HAWEZI KUTHAMINI UWEPO WAKO KIPINDI UPO MUACHE AENDE ZAKE
Kuna watu ukiwaonyesha upendo,,, huwa wanakuwa malimbukeni na kuanza kukufanyia visa na vituko na hata kukutishia kukuacha,,,
Ila unapoamua kuachana nae na ukawa huna muda nae tena,,humpi attention tena,,na ukazidi kuwa bora zaidi yake,,,ndiyo huwa anakumbuka kuwa sio wewe ambaye huwezi ishi bila yeye ila yeye ndo hawezi kuishi bila wewe,,kama hawezi kuthamini uwepo wako kipindi upo muache aende zake ili ajifunze kuthamini uwepo wako kipindi haupo nae katika maisha yako.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: