Thamani ya MTU au KITU hutajwa na Mwenye kuijuwa THAMANI HUSIKA...
Nafasi ya THAMANI aijuayo mtu kwa Mtu au kitu chake yeye ndiye hutengeneza mahala pa kuihifadhi THAMANI hiyo, Usipokuwa kwenye THAMANI ya Mtu huwezi kuonekana mwenye THAMANI na wala huwezi kupewa DHAMANA MOYONI MWAKE... Usijidanganye unapendwa kwa maneno matupu, Upendo unatajwa kwa matendo tena kwa wakati ambao umuhimu wako umeonekana kwake, Ni hakika UPENDO UKIDUMISHWA KWA MATENDO DHAMANA YA PENDO HUWA KUBWA! Mheshimu anaeweza kukuthamini maana ni ngumu kupewa THAMANI ikiwa huonyeshi kuheshimu THAMANI ALIYOKUPA MWENZA WAKO... Mapenzi/Mahusiano yanatuunganisha kwa urafiki, unapotoka kwenye misingi ya urafiki ni ngumu kuuona upendo kwa mwenza wako, Mpende anaeweza kukufanya ujione WEWE NI BORA maana huyo ndiye anaekupa THAMANI moyoni mwake.
#Elista_kasema_ila_sio_she ria
#Elista_kasema_ila_sio_she
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: