MWANAAAUME!! NAKUFUNDISHA JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE WAKO KWA AKILI, SOMA HAPA

Close up of american married couple embracing. African wife hugging disappointed sad frustrated husband, woman rear view. Unhappy couple have problems in relationship, friendship and support concept Stock Photo - 109744841

Ninalo amini kwa MWANAMKE MWENYE HEKIMA swala la tendo la ndoa ni kwa utimilifu wa maana ya MAPENZI! Lakini haiwi kama kipaumbele katika kumpenda mwenza wake, Mwanaume mwenzangu usiishi kwa hofu kwenye ndoa ama mahusiano yako ukajiona kama huna thamani mbele ya mwanamke wako, Ukiweza kumpa FURAHA NA AMANI MWANAMKE WAKO hata uwe na maumbile ambayo wanayaita sijui NYANYA CHUNGU wewe unajua namaanisha nini niamini utakuwa MFALME NDANI YA MOYO WAKE... Ukitaka kuamini haya namaanisha nini hata uwe na yale madizi ya BUKOBA halafu uwe mbabe na mwenye maneno ya kuudhi na mtu usiye heshimu utu wa mwanamke wako uone kama utapata nafasi kwenye moyo wake, Mwanamke anapokuwa na FURAHA NA AMANI hisia zake zinampa starehe kuliko hata hizo sarakasi zenu, Kama unajifanya mjuaji sana mbona unabadili wanawake kama boxer? Maana ungekuwa mtulivu HIZO SARAKASI ungebinuka kwa mkeo na sio kurukaruka kama swala ukikwepa mawindo ya simba, Mwanamke humpenda Mwanaume ambaye anajitambuwa na kujiheshimu, Mambo ya ujuzi kwenye Mapenzi ni kama bonus tu ila kikubwa MPENDE NA KUMHESHIMU MWANAMKE WAKO uje kuona upendo wake wote akikumwagia wewe, Tena utaishi kwa Amani sana maana hakuna kitu kinauma kama KUSALITIWA sasa atakusaliti kwa lipi na wewe umeshikilia nafasi yako? Tembeza akili yako upate pesa, usitembeze Mwili wako ni kujitenga na FURAHA.
#Elista_kasema_ila_sio_sheria ðŸ•­


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.