MAKWAZO HAYANA BUDI KUJA ILI KUTUJENGA KWENYE UPENDO IMARA.

Image may contain: 1 person
Ila tusikubari JUA kuzama hatuna maridhiano, Unaijua hatari ya kulala mzungu wa nne kati ya wawili waliounganishwa na MAPENZI? Usiku ni mrefu sana, jiulize unaanza kuwaza makwazo ya mwenzio Usiku kucha n then amelala tu wala hasumbuki na wewe NINI HATMA YA MAFIKIRIO HAYO? Hapo hapo Kuna ka mjamaa kanakuwinda kila siku HUJAKAMATIKA HUKO? Mapenzi mazuri mgombane mchana ila mjitahidi jua lisizame na UCHUNGU wenu, MTADUMU kama mtazingatia jambo moja tu KUBEBEANA... Sikwambii umbebee mwenzi wako wakati hajui kujisahihisha kwa hayo makwazo yanayokuumiza, Mbebee yule ambaye anajua kukosea na akapambana kukurejesha kwenye FURAHA! Mapenzi ni yale yale kasoro UHALISIA WA WATU ili ujue hilo mkumbuke aliyekufundisha MAPENZI je aliacha alama gani kwako? Hapo ulipo USIJUTIE bali itumie akili yako kuweza kuyaelewa MAPENZI kwa nyakati zake, STAY STRONG ðŸ’ª
#Elista_kasema_ila_sio_sheria


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.