DEAR GIRL KABLA HUJAPENDEZA USONI MWA WATU HAKIKISHA UMEFANYA HILI KWANZA

Dear girl kabla hujapendeza usoni mwa watu.hakikisha umependeza kwanza usoni kwa mumeo..sio kutwa nzima ukiwa nyumbani umejiviringa mavitenge kama bibi kizee!!!nywele ziko vururuuuuu, ki T-shirt ulichovaa kimejaa ramani za africa..mavitenge yale yaliyokomaaa eti haya ndio ya kushindia kutwa unayavaa kwa mumeo!!!maajabu unapotoka ndio unavaa ..unapendeza, hivi huko nje unapendezea nani !! ndani kwa mumeo kutwa uko buuuu!!!...kabla hujanifuata kuniomba ushauri kuwa eti mume wangu mwezi unapita hanigusi, akinigusa dk mbili jiangalie kwanza unavyojiweka nyumbani!!lazima stim zimkate mzeee!!night dress yenyewe rangi nyeusi hata haina mvuto..!!!jamaa wa watu asipokugusa unaaanza mume wangu sio rijali!!ni lijali haswa ila mazoea yataua ndoa yako!!!kutwa kusifia michepuko eti michepuko inashukilia show hiyo!!lazima akushikilie si unaenda ukiwa msafi !!kaa naye week tu afu vaa mavitenge yako hayo hayo kama atakushikilia kama unavyofikiri!!!.....!!sasa kutwa nzima umejivingurisha mavitenge kama unaenda msibani !!hizo hisia zitavutwa saa ngapi!!!badilika!!!!hasa kwenye usafi wa mavaz!!!najua wanawake hamutaipenda hii post ...ila ukikasirika ujumbe umefika. .povu ruksa !!!!#kibonde
kibonde


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.