JINSI YA KUMLA DENDA MUME WAKO NA NAMNA YA KUMUWEKEA LOVE BITE






_  Denda ni Lugha ya kiswahili ambayo imezoeleka kuitwa hivyo ikimaanisha kunyonyana ndimi au ulimi (tongue kiss) πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹ Denda ni kitu muhimu sana kinachofanyika kila siku pindi wapenzi wanapotaka kufanya mapenzi  Kitendo chakukutanisha ulimi ndio kinatwa kula Denda  Wewe na  MUME  wako lazima muwe wasafi mdomoni/kinywani Huku uso upo distance zero na mume i wako, fungua kope (eyelids) za macho funga fungua kwa speed huku unagusisha kwenye shavu pole pole ingiza ulimi kwenye mdomo wake
anza  kumnyonya na kumfyonza ulimi na midomo/lips mwenza wako na yeye pia akukunyonya na kukufyonza ulimi. Fanya vile kama unayafyonza maembe madogo matamu na kokwa zake. Pia umzungurishie ulimi ipasavyo ili uifikie kila sehemu ya kinywa chake. πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹ _

Unatakiwa kutofautisha kati ya kula Denda na kuitumia ulimi
Kula Denda nikukutanisha ndimi mbili Huku mkinyonyana mkibadilishana mate ktk mdomo yenu hiyo ndio Denda πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ Kiukweli Denda ndio mpango mzima ktk mapenziπŸ‘ŒπŸ‘Œ
🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸 _

JINSI YA KUMWEKEA LOVE BITE
kutanisha lips eneo husika ( mfano kama shingo,tako,kwenye titi n.k )kisha bana lips zakwenye ngozi yaw mpenz wako kama unang'ata taratibu kisha anza kunyonya eneo hilo kwa mda wa dakika mojahad ijitokeze kialama flan amaizing ila sasa mara nyingi inaonekana kwa mtu mwenye ngoz nyeupe au maji ya kunde.







(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.