FUKIZA CHUMBA CHAKO MTOTO WA KIKE






1- Kumta kitanda chako vizuri ili kusudi kuondoa michanga na ghasia nyingine☘

2- Fagia vizuri na futa mavumbi. Ukimaliza tandika shuka lako. Panga mito kwa mtindo utakao. Tumia kanga Kama unataka kuongeza urembo kitandani. Hakikisha shuka halifanyi mikunjo kwa kutumia mkono wako Kama pasi ☘

3- Chukua kanga zako weka juu ya chetezo Cha mbao. Zitie marashi au perfume. Weka shuka lako la kujifunikia juu yake. Litie marashi au perfume. Chukuwa ubani kidogo changanya na udi tia kwenye chetezo Cha udogo chenye moto. Acha udi ufukute mtoto Wa like. Kisha chukua Nguo yeyote funika juu yake. Weka chetezo kando ☘

4- Puliza perfume chumbani ongeza udi kwenye chetezo weka chini ya mvungu wa kitanda. Katakata rehani zako kisha changanya na asumini, viluwa uweke kitandani kwa mtindo uupendao. Ikiwa kwa kuandika au kuzitandaza kitandani au kuzikusanya pamoja na kuweka juu ya mto au pembeni ya mto ambapo zitaonekana. Ukimaliza funga chumba chako vizuri hakikisha mapazia umekunjua kuzuia harufu isitoke nje.☘ Muda Mzuri Wa kufukiza ni Jioni hasa Kama mtoto Wa kike una vinogesha kama asumini na vilua ambavyo hukizidishia harufu nzuri chumba.☘ Koga nawe jinogeshe kwa Nguo zenye mvuto umsubiri hubby wako☘







(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.