CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 09





Ilipoishia.........

Hadi hapo nikajua chale zangu zilikuwa sawa. Yule demu hakuwa bure. Nitakwambia mbele nini kilitokea na ndiyo sababu ya mimi kuondoka pale Dar nilipokuwa naishi na kaka.

Songa nayo sasa..

Baada ya kuona ana lake jambo,niliamua kumuacha na kuvaa nguo zangu kwa ajili ya kufanya mambo mengine. Kifupi alikuwa hana ladha wala nini,ndo maana niliamua kuachana naye.
“Kwa hiyo unaniacha hivi hivi?”.Aliongea Tuse huku akiwa bado pale juu ya meza.
“Sasa wewe ulitakaje?”.Nikamtupia swali.
“Nipe changu ndiyo mambo yote yataenda sawa”.Alinijibu huku ananioneshea vidole vyake kuwa anahitaji hela.
“Kwani tuliambiana kuwa kutakuwa na malipo?”.Na mimi nilimuuliza baada ya kugundua nia yake.
“Kwani dukani ukienda unaulizia kama kuna malipo au hakuna?Si wajua kabisa naenda dukani na lazima nitalipia”.Aliongea.
“Kwani wewe ni duka?”.
“Hilo halikuhusu,ila jua hapa hela ndiyo kila kitu,hutaki lazima utajuta kuingia kwenye mwili huu”.
“Ha ha haaa,naona unajaribu kutishia kujamba wakati unatumbo la kuhara. Utajiharishia mdogo wangu”.
“Unadhani nakutishia,sikutishi wala sikudanganyi,utaniona mimi ni mbaya. Hivi vimeundwa babu,usione vyaelea tu!”.
“Okey.Kwa hiyo unataka shilingi ngapi?”.
“Laki moja”.
“Zinaokotwa hizo laki moja?Kwa lipi ulilonifanyia?Kwa kipi ulichokifanya wakati mimi nimeingia kwenye dimbwi lako”.
“Mi hayo sijui. Nachotaka hapa ni changu tena fasta.Huna huo mpunga,basi unatakiwa kunisikiliza mimi nachotaka”.
“Sikiliza wewe kuku,mimi siyo wakunipelekesha pelekesha kama mpira wa miguu,na kamwe usinitishie maisha yangu”.
“Unajidai mbishi si ndio eeh. Sasa ngoja uone kuwa hapa umeingia sipo penyewe”.Aliongea Tuse na kushuka pale juu yameza kisha akavaa nguo yake na kutoka nje.
Nilimpuuzia na kumuona ni mwanamke tu! Hana jipya kwangu na wala hanitishi hata kidogo.

Baada ya dakika chache nikasikia geti la kuingilia kwangu likifunguliwa na sekunde kadhaa mwili wa Tuse uliingia ukifuatiwa na mama yake,na nyuma kabisa alifuatiwa mwanaume aliyekuwa amejaa haswa.Kwa kukuelekeza tu! Ni kwamba mwanaume yule alikuwa ni baunsa.
“Huyu hapa anataka anidhulumu”.Aliongea Tuse huku akimuoneshea yule baunsa kuwa mimi ndiye nataka nimdhulumu. Yule baunsa alinisogelea na kunikata kofi moja la maana hadi nikapepesuka. Sijakaa vizuri,akanisindikiza na konde lingine la uso na kunifanya nidondokee kwenye kochi.
“Kijana hizi mali haziliwi bure kama ulivyodhani,hizi mali zinajitunza kwa njia hiyo. Kama ulidhani kuna vya bure,hapa andika maumivu”.Aliongea baunsa yule huku akiwa kauwekla mguu wake kifuani kwangu.
“Umeiona hii?”.Aliendelea yule baunsa na kutoa bastola moja ndogo aina ya revorva na kunielekezea usoni kama akinionesha.
“Baba muache,usimfanye chochote,tutaongea naye na kama akitusikiliza,tutamalizana”.Aliongea Tuse akimsisitiza yule baunsa aliyekuwa baba yake,asifanye aliyokuwa anataka kuyafanya.
“Haya mwambie unachotaka kumwambia,na kama akikataa basi namfinyanga hapa hapa”.Aliongea baba Tuse huku akitoa mguu wake kifuani na kuniachia ili nisikilize nitakachoambiwa na wanae.
Nilikuwa napumua kwa kasi kama nimetoka mbio ndefu au kufanya kazi nzito. Pale nilipopigwa ngumi palikuwa panapwita balaa kwa maumivu,huku shavu langu la kushoto likiwa limetengeneza alama za vidole vya yule Baba Tuse. Achana na hayo tu!,tayari tumbo la kuhara lilikuwa linakaribia kufanya yake,na endapo angeendelea kunichimba mkwara na kunioneshea ile bastola yake,basi mwenzenu sasa hivi ningesema siku ile nilijiachia haja kubwa.
“Si nilikwambia Prince. Heri tungemalizana wenyewe huku huku,sasa ona yanayokukuta. Mimi sikutetei na wala sina huruma,kama utakataa nachosema,naruhusu baba akufanyie na huyo kaka yako si kitu kwetu,akileta uboya boya wake na yeye anakaushwa tu!”.Aliongea Tuse huku akiwa kasimama mbele yangu na kikanga chake.
“Mwambie unachotaka kumwambia siyo unaanza kumpigisha stori hapo”.Sauti ya Baba Tuse iliamrisha.
“Sikiliza Prince. Umeingia mwilini mwangu na kufanya yako. Hivyo hapa kama kawaida,nataka changu kama nilivyokwambia”.Aliniambia Tuse huku akiwa na uso usiyo na utani.
“Shilingi ngapi unataka?”.Niliuliza huku natetemeka.
“Nimeshakwambia laki moja,sishushi wala sipandishi”.Alijibu Tuse.
“Lakini mbona sikufanya muda mrefu na wewe,na vilevile hata sikutoa goli”.Nilijaribu kujitetea ili nieleweke na wanipunguzie ile hela waliyoniambia.
“Mimi sijui hilo,nachojua umeingia mwilini mwangu tena kwa kondom. Unajua gharama ya kuingia mwilini mwangu kwa kondom?”.Aliniuliza Tuse.
“Sasa mimi ningejuaje wakati hukuniambia kama unafanya biashara?”.Na mimi nikatupa swali.
“Kumbe alikuwa hajui kama unafanya biashara?”.Baba Tuse aliuliza baada ya kusikia maneno yangu yale.
“Ndiyo mzee.Yeye alikuja humu na kuanza kuchagua CD, mara akaona CD yangu ya ngono,akaanza kuing’ang’ania. Mara tukaanza kugombania ndiyo tukajikuta tayari tumeingia katika kufanya mapenzi. Nilikuwa sijui kuwa mwenzangu anafanya biashara”.Niliongea kwa upole ili japo kidogo nieleweke,na kweli yule mzee alianza kunielewa.
“Sasa kama hukumwambia huyu mjinga kuwa unafanya biashara,ya nini useme anakudhulumu?Huoni kama huo ni ujinga?Si nilishakukataza kujiingiza mwenyewe kufanya mapenzi na kuanza kuwadai watu kwa kisingizio wamekufuck kwa maelewano?Si nilishakukataza hiyo tabia?”Baba Tuse alimjia juu mwanae ambaye alikuwa kimya wakati simba ananguruma.
“Lakini Baba Tuse,hata hivyo huyu kijana ana makosa,kwa nini afanye mapenzi na mwana wetu bila mawaelewano naye?Kwa nini asingemuuliza kabla hawajaanza mchezo?”.Mama Tuse naye akawa anajaribu kumtetea.
“Si hivyo tu Baba.Mimi nilikuwa tunataka kufanya kama kufurahishana,sema yeye akaanza kuwa na kiburi na maneno ya kashfa na kusema eti naweza kuwa na ugonjwa,hadi akaamua kutumia kondom”.Tuse alijaribu kujitengenezea mazingira mazuri kwa baba yake. Na baba yake aliingiwa na maneno yale na kuanza kunipiga tena.
“Wewe wa kumwambia mwanangu ana magonjwa wewe?Unajua huyu katoka wapi hadi hapa alipo. Haya nieleze ana ugonjwa gani ulioutambua. Nieleze kabla sijakugawanywa maisha yako,kwenda kaburini na mengine jehanamu”.Aliongea kwa hasira Baba Tuse baada ya kunipiga kwa ngumi na mateke mwilini mwangu. Huku nikiwa natetemeka na mwingi wa kilio,nilianza kujitetea.
“Hapana mzee. Mimi sijamwambia kuwa ana magonjwa,ila nilimwambia tutumie kondom kwa sababu hatujuani,wote tumekutana huku huku. Yeye hajui mimi nimetokea wapi na nina magonjwa gani,na wala mimi simjui yeye. Hivyo ni vema kulindana katika hilo,na si hilo tu! Hata mimba zisizotarajiwa nazo twaweza kuzuia kwa mtindo huo,lazima tujali”.Niliongea huku nikijaribu kuonesha hali ya huruma kwenye uso wangu,na maneno yale yaliwaingia vizuri sana wazazi wa Tuse.
“Hivi wewe Tuse una akili kweli?Ni mwanaume gani katika maisha yako anaweza kuwa kama huyu kijana?Anakusihi na kukushauri kwa vitu vya muhimu kama hivi,mwanaume gani kawahi kukufanyia hayo? Mimba ngapi umetoa wewe mtoto?Leo unaushauriwa vizuri,eti unajidai unakuja kwetu na kusema umedhulumiwa. Sasa hapa umemdhulumu huyu kijana?,au yeye ndiye kakudhulumu wewe. Embu nijibu”.Mama Tuse aliongea huku anamwangalia mwanaye.
“Mama huyu si kala kuku,amlipie tu!.Mimi sitaki zengwe na nyie,si mnanijua nikiamua hapa eeh. Nitawafanyia kama juzi,na mtahama na hapa. Mwambieni huyu fala anipe changu,kama hana,tumpe masharti kama ya wengine wa nyuma”.Tuse aliongea kwa kujiamini hadi hata wazazi nao wakanywea.
Sikujua ni kwa nini Tuse alikuwa mbabe vile hadi wazazi wake wakanywea na kuwa kama mkate uliowekwa kwenye chai.
“Una hiyo laki moja kijana?”.Baba Tuse aliniuliza huku akiweka bastola yake kwenye mkanda wa suruali aliyoivaa.
“Mzee mimi sina hiyo laki moja,labda mnipe masharti”.Nilijibu huku nikijifuta damu zilizokuwa zinatoka kwenye paji langu la uso.
“Utaweza au unataka kutufia sisi tu!”Mama Tuse aliingilia ombi langu kabla halijapitishwa.
“Aah,mama muache,si kataka masharti?Ngoja nimpe,na baba utamalizia yale mengine”.Tuse hakuwa nyuma kubishana na wazazi wake.Akaendelea,
“Ipo hivi wewe fala.Inatakiwa kila baada ya siku mbili,uwe unakuja kwetu na kufanya mapenzi na mimi kwa jinsi navyotaka.
Nitakuelekeza jinsi ya kufanya na wewe utafanya hivyo hivyo. Na sipo mimi peke yangu,kaa ukitambua hilo. Akitokea mtu anataka mambo,na mimi nikiridhia,utafanya naye tu!. Ni kila baada ya siku mbili ndani ya mwezi mzima,yaani namaanisha utafanya mapenzi na mimi na watu wangu kwa siku kumi na tano kuanzia leo,hayo ndio malipo ya laki moja yangu”.Aliongea Tuse na kunifanya nitabasamu kimoyo-moyo huku nikiamiami kazi hiyo ni rahisi sana kwangu.
“Na kama ukijaribu kutoroka,nitaifanya familia yako kitu kibaya sana ambacho utajutia maamuzi yako. Si unakaa na kaka yako hapa?Basi yeye ndiye atakuwa malipo ya wewe kutoroka. Umenisikia?”.Aliongea Baba Tuse huku akiniangalia kwa macho makali na ya kuogofya.
“Nimekusikia na nimekuelewa mzee.Ila nina ombi moja”.
“Ombin gani?”.
“Kwenye hayo aliyosema Tuse,naomba yawe yanafanyika kwa zana,kama haiwezekani,basi niuweni sasa hivi tu!”.Nilitoa ombi langu na kuifanya ile familia ya wajinga na wasio na akili yoyote,kubaki kuangaliana kama majogoo yaliyotoka kupigana halafu wakatoka droo.
“Poa, Hamna tatizo kuhusu hilo. Limepita”.Tuse alipitisha hoja na kuwafanya wazazi wake kuanza kuondoka mle ndani kwangu na kuniacha mimi na Tuse.
“Umeona sasa Prince?Nilikwambia tuyamalize,ukajidai mgumu kama nazi,ona ulivyoumizwa”.Tuse alijidai ananionea huruma,lakini sikujali huruma yake kwa sababu katimiza nia aliyokuwa kaipanga.
“Hayo masharti yako yanaanza kutimizwa lini?”.Nilimuuliza Tuse.
“Kesho ndiyo kazi inaanza rasmi.Ntakufaidije”.Alijibu Tuse huku akijishongo-shongo macho na mwili wake.
“Basi toka ndani kwangu kama kazi inaanza kesho,sikutaki humu”.Nilimwambia kwa hasira na kumfanya acheke kwa kejeri na kuanza kutoka nje.
*********Episode ya 09 inaendelea.......*********





(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.