CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 09 (inaendelea..)







Sikuamini kabisa kama kuna wazazi kama wale duniani. Wanawafanya watoto wao ni biashara na wala hawaomi shida kwa maamuzi wanayoyachukua.
Yule Tuse au Suzy,siyo mtu wa kutamka mbele ya wazazi wake kuwa atafanya ngono na mimi kwa mwezi mzima halafu wazazi wake wanakubali tu!. Na pia maswali kwangu ni lazima yapite,kwa nini imetokea vile,yaani ni kwa nini adhabu yangu iwe ni kufanya ngono na yule binti?.Jibu nilikuja kulipata baadae.

********

Nilikaa siku ile huku nikiwa na mawazo mengi sana. Nilijitibia maumivu yangu,na yalipopona,niliweza kulala kwa ajili ya kuamka kesho.

Nilipoamka,nilifanya kazi zangu za kila siku,hasa kusafisha nyumba na mazingira yake pamoja na kuosha vyombo vyangu,na baada ya kumaliza nilitulia zangu na kuweka filamu ya Rambo na kuanza kuiangalia hadi mida fulani ambapo nilisikia geti la nyumba nayokaa likianza kugongwa kwa nguvu kidogo. Nilipotoka,nilikutana na sura ya Yesaya mdogo wa Tuse. Aliniambia kaja kuangalia video,na kwa kuwa nilikuwa sina tatizo na yule dogo,nilimuachia aingie ili aangalie.

Baada ya kimya kidogo,niliamua kuanza kumpeleleza yule dogo kuona kama anajua chochote kuhusu familia yake. Na kweli,nilipata chochote kutoka kwake,japo hayakuwa mengi sana.
Aliniambia kuwa kule walipohama,walihama kwa sababu Tuse aliwadhulumu watu halafu akawasingizia wazazi wake ndiyo wamemtuma kufanya vile. Nilipomuuliza dogo,kama anajua ni kazi gani aliyokuwa anaifanya Tuse hadi adhulumu watu,dogo alijibu kuwa hajui.
Aliongeza kwa kusema kuwa,baada ya kuwataja wazazi wake kuwa ndo wamemtuma,wale majamaa walienda hadi polisi na kuwafungulia mashitaka ya dhuluma familia ile. Ilibidi walipe hela fulani ili ile kesi iishe,na walifanikiwa katika hilo.

Pia dogo alisema baba yake anatokaga usiku na kurudi mida ya saa nane mchana. Na mara nyingi akirudi,anakuwa na vitu mbalimbali vizuri na vya kuvutia kama vidani vya madini ya gharama na simu za kila aina.
Niliposikia hayo,nilijua moja kwa moja,baba wa Tuse ni jambazi au mwizi.Nilitulia kimya na kuendelea kuangalia filamu niliyoiweka hadi ikaisha,ambapo baada ya kuisha,Yesaya alitoka nje,na aliporudi,aliniambia kuwa dada yake ananiita ndani kwao.
Hadi hapo,nikajua tayari mambo yamewiva.Yaani ile adhabu niliyokuwa nayo,nilitakiwa kwenda kuanza kuitumikia. Adhabu yenyewe ni kufanya ngono na binti yule kwa jinsi atakavyo.
Nikatoka zangu ndani na moja kwa moja nikaenda kule nyumbani nilipoitwa na Tuse,ambapo nilikaribishwa kwa mbwembwe nyingi na Tuse aliyekuwa kavaa nguo moja ambayo ilionesha maungo yake vizuri kabisa.
Baada ya mimi kuingia,akaanza kujichekesha-chekesha pale kama kakalia kitu kinachotekenya. Nilimuangalia kwa dharau kisha nikamuomba tufanye jambo lililonileta ili niondoke mle ndani haraka sana.
Ni kweli Tuse alikuwa ana Inye Gwedegwede,lakini kwa alichonifanyia,nilimuona kama vile sijui kitu gani. Kwa kifupi naweza kusema kuwa alinitoka kabisa akilini,yaani alikuwa hanipi mizuka hata kidogo.
Baada ya kumwambia tufanye alichoniitia,alitoa lile vazi lake linaloongaza hadi vitu vya ndani ya mwili wake vinaonekana.Na kisha alikuja pale nilipokuwa nimesimama na kunitoa nguo zangu zote.Baada ya hapo akamshika nanihii wangu,ee,huyo huyo nanihii. Akawa anamvuta kama kamba ya farasi au ngamia,na mimi nikawa namfata hadi tukafika chumbani kwake.
Tulipoingia,akanisukumia kitandani,nikadondokea kifudi-fudi. Kwa mbwembwe nyingi,alinifata pale kitandani na kuanza kumpikicha Prince huku anapaka mikono yake mate. Hakuishia hapo,akamweka mdomoni Prince na kuanza kumnyonya kwa uangalifu na taratibu bila wasi-wasi. Hapo kidogo alinipatia,kwa sababu utamu nilioukosa kwa muda mrefu,sasa ulikuwa laivu unaniingia mwilini.
Nilijiahidi kimoyo-moyo kuwa akinipa nafasi ya mimi kumchezea,nitamfanya kitu ambacho hatakuja kisahau maishani mwake. Kitu hicho niliwahi kuwafanyia wanawake wawili tu! Hapa duniani,nao ni kwa sababu walikuwa wanajifanya manunda sana katika mapenzi. Sasa nilimpangia na huyu Tuse nimfanyie.

****

:: Najua unahamu ya kujua kwanini Prince alifanya? Unavyodhani nini kitaendelea hapo ?

::*********Usikose Episode ya 10*********





(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.