Wanawake Wengi Wasafiri Wakitongozwa Huwa Hawakatai, Kwanini??

Yaani ni mchele mchele ukikaa naye siti moja katika basi moja kwa safari ndefu ya kutoka dar kwenda kwa mfano Mbeya, Bukoba, Mwanza nk, Ikitokea Umemtongoza tu kabla hata hamjafika morogoro tayari kitu kimeshaeleweka, ila tu jiandae kubeba jukumu la kumnunulia "tuvyakula" njiani...Kuna Jamaa Alishawahi kutuandikia hapa kisa chake cha kupata mpenzi kwenye basi na Tukapost hapa kuwa alimtongoza mdada kwenye basi na walipofika walipokuwa wanakwenda wakaishia Gesti house

Je Kuna Ukweli Juu ya Hili ...Please Leave Your Comment


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.