Sijawahi na siwezi kuwa na urafiki na mwanamke maishani mwangu tatizo nini?

Katika maisha yangu naskiaga tu na kuona baadhi ya wanaume wenzangu wana marafiki wa kike "just friends". Mimi sijawahi kuwa na rafiki wa kike eti "just friends" maishani mwangu.

Tatizo langu mimi nikikaa close na mwanamke ambae sina undugu nae wa damu mashine lazima inyanyuke concentration inahamia kwenye sex, kitendo kinachopelekea either nitasex nae au nitatemana nae tu siwez kuwa na urafiki nae tu lazima nitamuomba nyapu.

Hata kwenye ishu za kikazi sipendi kuwa na ukaribu na mwanamke kwa kuwa sipendi kuharibu mazingira ya kazi au biashara strictly business kwakuwa najua nikiendekeza urafiki nitaomba tu nyapu alafu either ntapiga au ntanyimwa na kazi itaharibika.

Nashangaa sana kuona mtu ana marafiki kibao wa kike wazuri balaa pajapaja takotako alafu unaskia "we are just friends". Mimi huwa siwez labda nna matatizo marafiki zangu wote wa kike nimewapiga pampu aisee.

I'm sorry kama dadaako au mke wako alinitambulisha kwako kama rafiki nisamehe bure

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.