Mbinu za kumuacha huyu mwanamke


Habari zenu wakuu kweli nisipoteze muda niende moja kwa moja katika mada

Nimekuwa katika mahusiano ambayo imefika muda sioni future yoyote na huyu mwanamke ananikera sana na tabia zake za kuflirt hata na rafiki zangu na kila nikimwambia achana na tabia hiyo yaani baada ya muda kupita anazirudia

Baada ya attempt 3 zangu za kumuacha kushindikana labda sababu ya udhaifu hasa inapotokea mwanamke akaangusha kilio au kuanza kuomba msamaha wakati mwingine anawashirikisha wengine kumuombea msamaha

Lakini wakuu nshachoka nataka kuachana nae kabisa kila mtu ashike yake ila nmechemka kabisa kimbinu nipo nae kimwili tu lakini nafsini kashanitoka kabisa

Hapa sijui nafanyaje.......msaada wakuu

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.