NI kwanini wanawake wengi siku hizi wamekuwa wakifosi ndoa kupita maelezo?
Ivi inakuwaje siku hizi mabinti wengi mkishaanzisha uhusiano nao kwa muda mfupi wanaanza kufosii ndoa unakuta mtu uhusiano wenu hata mwezi haujaisha binti anataka uende kwao ukajitambulishe , binti anataka kuwajua ndugu zako, binti anataka kujua lini utapeleka kwao barua, lini utapeleka kishika uchumba lini mtaoana
Mimi ninachojua swala la ndoa ni watu wanakaa karibia mwaka mzima wanachunguzana mnajuana tabia in and out familia na kila kitu au miaka miwili mpka inafika hatua mwanaume anaridhia kweli lakini siku hizi wadada sijui wamekuwaje wanafosii sana ndoa hata mwezi aujaisha tangu mjuane ndoa
Nazungumza hivo coz nina rafiki yangu kuna binti wameanza nae uhusiano hata week haijaishaaaa binti ameanza kudai ndoaa,yaani saivi mshikaji anasumbuliwa kweliii ndoa ndoaa ndoaa.
Je ni kwanini mabinti wengi wamekuwa wakifosiiii sana kuelewaaa na binti anapokuwa anakuwa anakufosi mfunge nae ndoa huwa ana ajenda ganii ya siri
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: