Mume Wangu Ananinyang'anya Mshahara Wangu Kila Mwezi...
Mimi ni Mama wa watoto wawili, nimeolewa na ndoa yangu ina miaka mitano sasa, mimi nafanya kazi na mume wangu naye anafanya kazi. Tatizo nikuwa, mume wangu anataka msharaha wangu nimpe wote yeye ndiyo apangie matumizi, hilo nilishalizoea hivyo nikipokea msahara nampa na yeye ndiyo anapangia matumizi, nakua namuomba kila kitu mpaka pesa ya nauli na wakati mwingine ananinyima nalazimika kukopa. Nina madeni mengi sana pamoja na kuwa na mshahara mkubwa.
Nyumbani kwetu kila siku ni kulalamika kwani msahara wangu ni kama milioni na nusu lakini huwezi amini kuna wakati hata pesa ya vocha nakosa. Nikimuomba mume wangu ananiambia nina matumizi mabaya, hela yake sijawahi kuiona nikiongea anasema ana majukumu kwani wadogo zake wanasoma. Nahangaika kwenye viposho vya ofisini nakusanya, nilikusanya mpaka nikapata milioni tatu, lengo lilikua ni kununua kiwanja kwani mume wangu pamoja na kuchukua pesa zote ni mtu wa pombe tu na wanawake.
Yaani ukimuambia mambo ya maendeleo atakutukana na hata kukupiga kuwa unampangia maisha. Nilipopata ile pesa nikamuambia mume wangu, akasema basia atanunua kiwanja, kweli alipata kiwanja akanunua lakini badala ya kuandika majina yetu wote aliandika jina lake mwenyewe, namuuliza kwanini anasema inamaana huniamini. Basi nikakaa kimya, tatizo linakuja kwenye kujenga, kila nikimuambia kujenga anasema hana pesa ana mambo mengi. Lakini mimi pesa zake sizioni anasingizia majukumu majukumu.
Mwezi wa sita aliniambia nichukue mkopo, tukaongea vizuri akasema kwakua tuna kiwanja basi tuchukue kopo kwa msahahara wangu ili tujenge harakaharaka, alionekana kubadilika na kuwa na mawazo mazuri alisema yeye atakakua anahudumia familia. Nilichukua mkopo wa milioni 18 nikampa, kwaajili ya ujenzi, lakini Kaka juzu nakuta mwanaume kumbe kaagiza gari, namuuliza anasema watu wanamdharau mtaani hana gari hivyo ni bora tuwe na gari ya kutembelea, kaka nimeumia sana kwani mkopo nakatwa mimi, gari aliyonunua ni tya ghali, milioni 28 kaka kanunua gari wakati hata nyumba hatuna.
Naomba ushauri nifanye nini maana naona kama nachanganyikiwa na tangu anunue gari hata nyumbani hajarudi yupo tu na marafiki zake huko

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
WASILIANA NA DR FADUMI kupitia Barua Pepe: (spiritualsolutionboxstopcentre@hotmail.com)
ReplyDeleteWhatsapp: +1 (405) 829‑4504
Hamjambo marafiki, niko hapa ili kusema ushuhuda wa kustaajabisha na wa kustaajabisha kuhusu mtumaji mahiri aliyenisaidia. Kumrudisha Mpenzi wangu ndio sikutarajia na sikuwahi kufikiria. Mimi na Mpenzi wangu tumeoana kwa miaka tisa na tunaishi kwa furaha lakini ghafla alibadilika kabisa na kuniacha na sikujua kinachoendelea, nilijaribu kumuuliza lakini alikataa kuniambia nini. tatizo lilikuwa, na kadiri muda ulivyozidi kwenda akatafuta talaka. Nilikuwa na wasiwasi na kuchanganyikiwa, na nilijitahidi kumrudisha lakini haikuwa rahisi, nilidhani matumaini yote yamepotea, siku moja nilipokuwa nikitafuta kwenye mtandao, niliona mtu akishiriki ushuhuda jinsi mtangazaji mahiri anayeitwa Dr Sunny ambaye alimsaidia kumrudisha EX WAKE. Sijawahi kuamini katika uchawi katika maisha yangu yote au uchawi kwa sababu sikuwahi kufikiria kuwa utafanya kazi lakini nilijaribu kumpa mtu huyu nafasi na kwa mshangao mkubwa, aliroga ili kumrudisha Mpenzi wangu, Mara moja akatupa uchawi. aliniambia kuwa kabla ya JUA KUTUA, EX wangu atakuja Kurudi nyumbani. kweli kabla ya jioni hiyo alirudi na kuomba msamaha na kuwaambia watoto amewakumbuka. hii imenifanya nimwamini DR SUNNY, leo tumerudi pamoja katika Nyumba yetu nzuri na watoto. Asante Dr Sunny Tumefurahi pamoja tena na natumia fursa hii kumwambia mtu yeyote anayepitia hali kama hiyo au kama unahitaji Tiba kuwasiliana naye kwa
WASILIANA NA DR Sunny : Barua pepe: (spiritualsolutionboxstopcentre@hotmail.com)
Whatsapp: +1 (405) 829‑4504
WhatsApp:+234 916 2183 225
Programu ya mawimbi : + 1 (405) 829‑4504
Programu ya Zangi: 10-0704-4693