Lulu Diva Afunguka Penzi la Rich Mavoko...'Sijawahi Kutumia Condom'

Nyota wa kike kutoka kiwanda cha Bongo fleva Mwanadada, Lulu Diva amefunguka kuwa hakuwahi kuwa na mahusiano na Rich Mavoco na kwenye maisha yake hapendi kutumia kinga.

"Mimi na Mavoko hatujawahi kuwa na mahusiano, kuhusu swala la kinga hapana, mimi na mpenzi wangu tayari tumeshapima na nina mpenzi mmoja tu"

Aidha Lulu Diva amesema kwa siku huwa anapokea DM meseji 100, 200, hadi 300 kutoka kwa wanaume kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, wakimtaka kimapenzi ila kwa bahati nzuri au mbaya huwa hasomagi na hafatilii hizo meseji.


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.