USIO/KUOLEWA NA MTU AMBAE HUJARIDHIKA NA TABIA ZAKE



Zipime tabia za mtu wakati mko kwenye uchumba halafu ukijiridhisha ndio useme sasa nataka kuingia kwenye ndoa,,,

Amini kama kwenye uchumba sehemu ambayo mtu anaweza kufanya mambo mengi ili akushawishi kutaka ndoa,,umeona kuna vitu umetaka abadilike akashindwa wala usijiaminishe kuwa ukiingia kwenye ndoa atabadilika tena usishangae tabia hiyo ndo ikazidi,,

Pambana sana either kuzibadilisha tabia za mpenzi wako au kuzizoea tabia za mpenzi wako,,,kumfanya ajue nini unapenda na nini hupendi ajue mapema kabla ya siku yako ya ndoa ili ukiona vimeshindikana  basi hiyo ndoa achana nayo maana unaenda kukaribisha machozi na mateso tu,,

Usiingie kwenye ndoa kwa imani kwamba baada ya ndoa atabadilika,,,akishindwa kubadilika kwenye uchumba achana nae.



(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.