MDOMO WAKO NI ADUI WA KWANZA KATIKA MAHUSIANO










Hamna kosa kubwa wadada mnalofanya kama kumwamini shosti yako,,,haijalishi mnaivana kiasi gani,,,unadhani unafanya vizuri kumwambia details za mahusiano yako,,yawe mema au mabaya,,HIVI unaanzaje kumsifia mwanaume fulani kwa shosti yako kuwa umempata mwanaume mzuri anayekupa mautamu kama yote,,,,anayekupeleka vilele vya milima yote,,,,hivi hamjui kuwa kuwa na hao shosti nao wanahitaji,,,,,na huenda wanakosa utamu kama unaoupata wewe,,,,,hivi unaanzaje kumsimulia shosti mabovu ya mwanaume wako?kwamba hana lolote,,hakufikishi na wala hana pesa na madhaifu mengine,,,,hujui wenzio wanaweza kubadilisha kibovu kwenda kizuri,,,mkiibiwa mnaanza kusema wanaume washenzi,,,haki ya nani,,adui wa kwanza wa mahusiano yako ni mdomo wako usiokuwa na breki.



(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.