ZAWADI KUBWA KWA MWANAMKE NI KUPATA MUME MWENYE HOFU NA MUNGU
Hakuna zawadi kubwa kwa mwanamke kama kupata mwanaume ambaye ni GOD FEARING HUSBAND,, mwanaume MWENYE hofu ya Mungu,,,, mwanaume mwenye hofu ya Mungu ataambatana na wewe kwenye NDOTO zako,,,mwanaume mwenyew hofu ya Mungu atajua maana ya msamaha,,,mwanaume mwenye hofu ya Mungu Atajua maagizo ya Mungu KWA mkewe na atasimama kisawasawa kama kichwa cha familia,,wanaume wa siku hizi wamekuwa walinzi wa simu zao kuliko kuzilinda ndoa zao,,,,utakuta simu ina password kila file,,pattern zimekorogwa kama mtu anakoroga uji,,,yaani ukishaona kwenye ndoa/mahusiano mwanaume first priority yake imekuwa simu kuliko wewe yaani muda anaoutumia na simu ni mwingi kuliko kuwa na wewe,,hesabu maumivu maana hiyo simu si tu itaenda kukata mawasiliano yenu kama mume NA mke ila itaenda kukata ufanisi wa tendo la ndoa,,,ndio maana tunasema ukiona huwezi kuiendesha ndoa tulia ukue.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments: