UJINGA NI NINI?
Ujinga ni pale ambapo una mchumba mzinzi kila siku unamfumania na unakubali kuoa/kuolewa nae kwa kisingizio labda atabadilika,,,ndugu yangu kubadilika kwake hakuhusiani na wewe,,anaweza kubadilika lakini sio kwasababu ya ndoa ila kwasababu kaamua au kakumbwa na kitu fulani,,,unapokubali kuoa au kuolewa na mtu ambae unamfumania kila siku,,,basi hakikisha umekubaliana na hali ya kuwa hutakuwa peke yako,,,
Lakini kuna kujidanganya kuwa atabadilika lakini yeye hajachoka,,ndugu yangu kama ukimfumania mara ya kwanza,,shetani kampitia,,mara ya pili bahati mbaya na mara ya tatu ni tabia zake,,ndivyo alivyo,,hivyo ni maamuzi yako kukubaliana kama ndivyo alivyo na utulie na roho yako au kujitoa na kutokubali ndoa ili usisumbue watu.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: