JIFUNZE KUMUACHA AENDE
Kamwe usihisi kuwa ulimwengu unakaribia mwishoni pale umpendae anapokuacha,,
MUACHE AENDE!Kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kumlazimisha nguruwe kutambua usafi na uzuri,,USIMLAZIMISHE akupende mwache mwenyewe akupende,,kama hakupendi MWACHE AENDE,,wewe ni wa thamani mno kulillia penzi,,mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hata kutreat kama uchafu,,kama atakuchukulia kama uchafu MWACHE AENDE,,usitumie muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi,,mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati,,ila wewe uko bize sana kumuogesha nguruwe kwanini?
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: