ASIYEJUA THAMANI YAKO USIMWAMBIE THAMANI YAKO


Usiokoke ili kupata mume acha upumbavu huo,,okoka ukimpenda kweli Mungu na ukitaka abadilishe maisha yako maana ulikuwa gizani,,
Mungu ndiye aijuaye thamani yako,,usiruhusu asiyeijua thamani yako aichezee thamani yako,,NA asieijua thamani yako usimwambie thamani yako,,jitambue kuwa wewe ni wa thamani kuliko yoyote duniani,,Mungu anaijua thamani yako,,elekeza fikra zako kwa anaejua thamani yako,,NA sio kuwaanda wasiojua thamani yako kuvutiwa na wewe kisha wakakutumia na kukuacha.


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.