USIMVUE NGUO MUME WAKO(short story — Ladys ya kwenu hii)soma na ujifunze
Wakati anafungua zawadi kutoka kwa watu mbalimbali Jane alishika BOX kubwa na kuanza kulifungua kwa Pupa kwani alikuwa akikumbuka kuwa alipewa na Mama yake siku ya harusi yake na alikuwa akitaka kujua ni kitu gani Mama yake Mpendwa Alimpa, Box lilikuwa Jepesi Sana….Alipo lifungua alikutana na kikaratasi Kidogo kimeandikwa “USIMVUE NGUO MUME WAKO” hakukuwa na Maneno mengine zaidi.
Alishangaa Sana kwani alishaolewa na Suala la kumvua Nguo Mumewe alishafanya katika honeymoon….
siku iliyo fuata alienda kumuona Mama yake na kumuuliza alimaanisha nini?

Hapo ndipo Mama yake alianza kumfafanulia na kumwambia “Moja ya kazi kubwa katika Ndoa ni *kuficha Mapungufu ya MUME wako”
huo ndio msingi na ndio kazi yako kama msaidizi wake.
Hakuna Mwanadamu aliyekamilika, mwenza wako atakuwa na Mapungufu Mengi kimaumbile na kitabia, Jaribu kumfuchia Mapungufu yake. Unapowaambia Marafiki zako kuhusu Mapungufu ya Mume wako unakuwa unamvua Nguo Mume wako na kumuondolea Heshima yake mbele yao. Lakini mlolongo hautaishia Hapo kama wewe ulivyoshindwa kuvumilia na kuwambia kuwa Mume wako anatabia kadhaa wakadha, Maumbile yake yako hivi na vile ndivyo na wao watashindwa kuvumilia..
Watawaambia na Rafiki zao wengine, Watawaambia Waume zao na Waume zao wataongea, yatasambaa Mtaa mzima na kuingia Ofisini. Kila atakapopita watu watamuangalia kwa Mapungufu yake Hata akifanya kitu kizuri watakipima kwa Mapungufu yake na kumdharau “.

Jane kwa wasiwasi alimuuliza Mama yake *”Sasa nitafanyaje kama nikishindwa kuvumilia Mapungufu yake?”
Mama yake alimjibu,
*”Kama ni Mapungufu ya kitabia ongea naye na msaidie kubadilika, kama ni Mapungufu ya kimapenzi basi msaidie kubadilika pia ila kama ni Mapungufu ya kimaumbile. Jifunze namna ya kukaa naye. Usimpe presha kwa kitu ambacho hawezi kukibadilisha hajajiumba yeye Mwenyewe, Hata wewe unakasoro ambazo na yeye atalazimika kuzivumilia, Hata hao unaowaambia wenza wao wanakasoro Lakini hawazitangazi”*

Akamalizia na kumuuliza *”Hivi kama Mume wako ana mikono Midogo ukimuambia shoga yako ndio mikono yake itakuwa Mikubwa?”
Jane akajibu “Hapana”
Jane akajibu “Hapana”
Mama yake akaendelea *”Basi huna haja ya kumtangazia na kuongelea udogo wa mikono yake, Mpakulie chakula na Mikono yake hiyohiyo Midogo, Na mfundishe namna ya kufinya Tonge kwa hiyo mikono Midogo”
Mama akamaliza na Jane akarejea nyumbani kufurahia Ndoa yake.
Acha kuwa Balozi wa Mabaya kwa mwenza wako.
USIMVUE NGUO MUME/MKE WAKO
USIMVUE NGUO MUME/MKE WAKO
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: