KAZI YAKO IWE SABABU YA FURAHA KATIKA NDOA YAKO


Kuna baadhi ya watu wanashindwa kutumia kazi zao kwa manufaa ya familia,imekuwa kero kwa familia na Wakati mwingine kuleta matengano hata kwa ndugu,Ila nikukumbushe kuwa ukiwa na mkono wa Mungu umekufungulia mlango wa kazi basi ni afadhali ujue màjukumu ya familia yako,,kazi yako pamoja na changamoto yake isiharibu furaha ya familia bali iwe sehemu ya furaha kwa familia,,mme/mke anajua changamoto za mwenzake,na wakati wote atakuwa nae akimtia moyo,kama wote mkawa na nia moja,,langu liwe lako,lako liwe langu hakika wakati wote mtafurahiana,,wazazi mkiwa na furaha basi hata watoto watafurahi,maana palipo na furaha upendo hutawala.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.