PENDANENI WAKATI WOTE HATA KATIKA CHANGAMOTO




Habari yako msomaji wangu,leo nataka nigusie eneo hili maana wengi siku hizi wanajikuta wanashindwa kutofautisha upendo harisi na upendo wa hisia,pendo la hisia mazingira yake hutengenezwa na mtu mwenyewe,limejaa maneno mengi ya ushawishi na sifa kibao,pendo hili linaweza likakusahaulisha malengo yako na kujikuta maneno yake ndani ya wiki mnaanza kuishi na mtu kama mmejuana mwaka,upendo huu kwasababu umeanza wakati wa mihemko,hisia zikipungua na lenyewe linapuishangae simu zinapungua,meseji zinapungua, maana lenyewe ni la muda,nataka ujitambue maana pebdo harisi ndo lile Mungu anahusika,,hisia zipo ndani yake lakini Mungu yupo ndani yake anawatawala,mtaishi kwa malengo na hata katika changamoto bado litang'araa maana msingi wake ni imara haliwezi kuanguka ,hadi mvuke magumu na kufikia wakati wa Amani.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.