DALILI ZA MAHUSIANO YAKO KUVUNJIKA



1.,Ni pale unapotaka kutatua tatizo na mwenzi wako anatafuta sababu tatizo liendelee.
2.unapewa ahadi hewa.

3.wakati mwingine unapoona mabadiliko ya mpenzi wako mfano dharau jambo dogo unatolewa ukali kutotimiziana haja mbalimbali wakati zamani haikuwa hvyo.

4.kupunguzamawasiliano,kuonana,kuongea na simu au hata sms akitumiwa hatazijibu au anaweza kukurudishia zawdi ulizompatia au atakwambia yeye ndugu zake wamekataa au yeye kukwambia hajisikii kuwa na wew tena.
5.mkipanga kutoka yeye atakwambia nyumbani kuna wageni labda siku nyingine wakati zamani hakuwa hvyo.
6.anakuomba pesa nyingi wakati anajua huna uwezo huo na lawama zilizopitiliza bila hata kupewa nafasi ya kujieleza.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.