KUTOJIZUIA NA KUTOKUWA NA MSIMAMO JUU YAKO,KUNAWEZA ATHIRI MAHUSIANO YAKO










Habari msomaji wangu,leo nataka niseme juu ya jambo hili,katika maisha haya MUNGU anataka tuishi kwa utaratibu na kwa nidhamu huku tukiangalia amri na sheria zake,ni ukweli usiofichika kama utashindwa jizuia kufanya yale Mungu anakataza tusifanye,ni rahisi sana kufanya yachukizayo hata kwa wapenzi wetu,nataka nikwambie kuwa kukosa hofu ya mungu ni hatari sana,,kwani utaishi kwa kiburi na utaishi kwa kuiridhisha nafsi yako,hivyo hata kwenye mahusiano yako,utajikuta unakuwa mtu wa kuishi kwa kuumiza moyo wa mpenzi wako.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.