IFANYE NDOA YAKO KUWA BANK YAKO YA UPENDO
Kama ilivyo katika bank za kawaida tunawekeza na kuwa na akibaa ya kutusaidia katika mambo yetu,hivyo hivyo katika ndoa unahitaji kuwekeza upendo katika mahusiano yako.,jua kumjali mpenzi wako,onyesha upendo na kujali,jua mahitaji yake na kumtimizia,kutenga muda wa kumuombea,hii yote ni kuweka akiba katika bank yako,faida ya kuwekeza upendo,ni kuwa na mahusiano yenye furaha,amani na kustawi,usipokuwa na akiba ya upendo katika mahusiano yako usidhani kuna mtu wa kusimama katika nafasi yako,jua mahusiano yatakuwa duni,kutakuwa na migogoro,kutokuheshimiana,kutojaliana na kutothaminiana,ila ukijifunza kuwekeza upendo,,basi tarajia ustawi wa UPENDO katika mahusiano/ndoa yako.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: