Siri za ndani: Mada maalumu kwa wanandoa na wapenzi
Kufuatia wapenzi wengi kutowekana wazi hasa katika suala la mahusiano, nimeona nifungue uzi huu maalumu kwa ajili ya wapenzi, wanandoa na wanaotarajia kuwa kwenye ndoa kufunguka mambo ya ndani ambayo, kwa namna moja au nyingine, huogopa kufunguka kwa kudhania labda wapenzi wao watawaona wahuni au malaya.
Katika mahusiano ya kimapenzi kuna mambo ambayo wapenzi au wanandoa huona aibu kufunguka, hivyo kupelekea mapenzi kudorora. Kwa uchache tu, baadhi ya mambo ambayo wapenzi huogopa kufunguka kinagaubaga kuhusu wenzi wao ni pamoja na yafuatayo:
1. Usafi binafsi (personal cleanliness)
Baadhi ya wanawake ni wachafu wa asili na hawajui kabisa kujisafisha sehemu zao za siri. Utakuta mwanamke sehemu yake ya siri imejaa uchafu wenye harufu kali kiasi kwamba baada ya kumaliza kupeana mambo, unakuwa kama vile ulichomeka mashine kwenye mtindi au jibini. Hali hii hupoteza kabisa molari wa kufanya mapenzi. Tatizo hili huwatokea zaidi wananwake au wasichana warembo. Wao wanadhani kwamba ukishakuwa mrembo kwa nje basi umemaliza kila kitu. Hata kama mwanamke una sura nzuri, kumbuka kujiweka katika hali ya usafi kwani uzuri wa nje tu hautoshi. Kuna mwanamke mmoja mkali nilikuwa nikimmezea mate kwa muda mrefu ikatokea nikaja kubahatika kutoka naye siku moja. Tangu siku hiyo sikuwa na hamu ya kuendelea naye hata kidogo.
Katika hali ya uchafu kama hii sio rahisi mwanaume kumwambia mwanamke kwa sababu inaweza kuleta kutoelewana kati ya wawili hao. Na unakuta wengine wana magonjwa ya uyoga au kimea kwenye sehemu zao za siri lakini wanaume wanakuwa wagumu kuwaambia wapenzi wao hao waende ama wakatibiwe au wakajifanyie usafi wa kutosha. Na kibaya zaidi, kuna baadhi ya wanawake ambao hawana muda wa kufyeka misitu iliyoota kwenye kingo za papuchi zao kwa kisingizio cha kukosa muda au fedha za kununua shoka la kukatia misitu hiyo. Uasafi wa mashine za wanaume sio tatizo sana kwa sababu ya kibaiolojia. Aidha, wanaume sio wavivu wa kuyeka misitu yao. Ni nadra sana kumkuta mwanaume anayemiliki msitu wa Amazon.
2. Ubora wa vitendea kazi
Vitendea kazi maana yake ni papuchi au mashine. Hii hoja ni tofauti na ile ya usafi niliyomaliza kuelelezea hivi punde. Baadhi ya wanawake wana papuchi pana na zenye majimaji kwa wingi kiasi kwamba ikiwa mpenzi/mumewe ana mashine nyembamba, inakuwa kama samaki anaelea kwenye maji ya bahari. Chanzo cha papuchi kuwa pana ni kutokana na mwanamke kuwahi kuwa na mpenzi mwenye mashine saizi ya punda, sasa anapompata mwanaume mwenye mashine ndogo inakuwa inapwaya. Hili nina uzoefu nalo. Niliwahi kuwa na mpenzi mmoja, aliniambia siku ya kwanza tulipokutana kimwili alikuwa na wasiwasi na mimi akidhani nitakuwa na mashie kubwa kama ile ya mpenzi wake wa zamani. Baada ya kumaliza shughuli yetu ndani ya sita kwa sita, alifurahi kwa kuwa mashine yangu haikumuumiza wakati wa tendo. Ijapokuwa ana umbile dogo kimwili, papuchi yake ilikuwa imetanuka sana kiasi kwamba wakati nikipump nilihisi mashine yangu inaelea papuchini mwake. Ndipo nikagundua mpenzi wake wa zamani ndiye aliyempanua.
Kwa upande wa wanaume kuna wale wenye vibamia na wale wenye saizi ya punda. Hili nalo ni tatizo. Wenye vibamia sitawaongelea sana kwa sababu matatizo yao yanajulikana. Mwanamke wa kawaida akikutana na mwanaume mwenye saizi ya punda, hupata taabu sana. Hii inaweza kupelekea kuhisi maumivu makali wakati wa tendo na hata kupelekea uke kuchanika. Yaani badala ya mapenzi kuwa raha hugeuka kuwa karaha. Na ukute sasa mwanamke ameishanasa kwa handsome wake humwambii kitu….anakuwa anavumilia papuchi yake inaumizwa na hata kuchanwa na limashine la punda!
3. Kutosheka
Kutosheka kwa mwanamke baada ya tendo la ndoa ni somo pana sana. Kuna baadhi ya wanawake wapo na wapenzi wao au wamekuwa ndani ya ndoa kwa miaka mingi sana lakini hawajawahi kufika climax wala kufurahia tendo. Hii ni kwa sababu tatu.
Mosi, wanaume wengi ni wabinafsi. Hujinufaisha wao tu bila kujali kwamba na wenza wao pia wanapaswa kutosheka na kufurahia tendo.
Pili, wanawake wengi hujifanya manunda; hawawaambii wapenzi/waume zao waziwazi kwamba bado wanahitaji kufanywa (kwa namna ipi) hadi wafike kibo au mawenzi. Aidha, baadhi ya wanawake hawawaelekezi wenzi wao jinsi ya kuwaandaa au sehemu za kuwagusa (na kwa muda gani) ili wapate stimu ya kufurahia mchezo. Matokeo yake, wanawake huamua kutangatanga huko na huko wakitarajia kuwapata wanaume ambao watawapiga miti hadi wapate raha.
Tatu, kwa wanaume wenye vibamia hata ungefanya mapenzi kwa siku nzima wakati kibamia chako kinaishia kugusagusa juu ya papuchi, mwanamke huyo hutaweza kumtosheleza hata ungekaa kifuani kwa siku nzima.
4. Kujiachia
Tendo la ndoa linapaswa kufanyika kwa uhuru wa kutosha. Baadhi ya wapenzi hushindwa kuonyesha vionjo au manjonjo kwa kuogopa kuulizwa maswali ya ajabuajabu kama vile: “Hii staili nani kakufundisha…ndio unayofanya na malaya wako eeeh?”. Maswali kama haya hukatisha tamaa na kupelekea kukosekana ubunifu kwenye gemu. Yafaa wote muoneshe utundu maridhawa kwa uhuru bila kuhisiana vibaya.
Kwa kuwa hili ni darasa huru, naomba wote (ke & me) tufunguke hapa na tuweke wazi kila kitu ili kusaidia kuboresha mahusiano. Wanaume mseme ni nini mnachotaka au mnachokosa kutoka kwa wapenzi wenu wa kike na wanawake pia mfunguke kwani nanyi pia kuna mapungufu ambayo mnakabiliana nayo muwapo faragha na wapenzi wenu wa kike. Lengo kuu ni kuboresha uhusiano na kutoshelezana katika tendo la ndoa na mahusiano kwa ujumla.
Karibu kilingeni.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments: