Leo nimehisi sababu iliyomfanya baba yangu kumuacha mama yangu..



Kutoka Kwa Mdau

Mafanikio yalimbadilisha baba.

Mahusiano Kati ya baba na mama yalianza kipindi ambacho baba alikuwa akihustle wakati Hana pesa Kwa Hiyo mama alimpenda baba Kwa Jinsi alivyo na alimsapoti Katika hustle zake. ila upande wa baba alimpenda mama Kwa sababu tu alikuwa akimvumilia na kumsapoti Katika kutafuta pesa so hakuwa chaguo lake Bali ni mtu tu anayemsaidia Katika kupata mafanikio yake. Kwa Hiyo mwisho wa Mahusiano yao ulifika pale baba alipopata mafanikio na kwenda Kwa mwanamke mwingine. Najua mama yangu aliumia Sana kuona mtu ampendaye anamuacha baada ya kupata mafanikio wakati walikuwa pamoja Katika shida. Mama wewe ni jasiri Sana muache huyu mhuni ila Ipo Siku atakukumbuka

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.