HEBU TUONGOLEE USALITI KWENYE MAHUSIANO
USALITI - MAHUSIANO
ππ
#Barafu huyeyuka inapopata joto, macho ukosa uwezo na kuganda unapo msaliti mwenzi wako.
ππ
#Kama anamsaliti aliye naye na kukufuata wewe, usijifariji, hata wewe atakusaliti na kumfuata mwingine.
ππ
#Umekwisha kamatwa, acha kujitetea, ondoa uongo, kuwa mkweli, badirika na anza upya.
ππ
#Hakuna kufaulu wala kufeli katika mapenzi.
ππ
#Historia hujirudia, muongo hurudia uongo na msaliti uendeleza usaliti, aliye kupigania na kukupenda uendeleza upendo na kuwa nawe daima.
ππ
#Kila wakati unapo msaliti na kukamatwa unavunja sehemu ya uaminifu, unapoendelea unampoteza kabisa.
ππ
#Wote hujiona mashujaa, wajanja na wataalamu wakati wa usaliti lakini pindi tunapo kamatwa, samahi utawala na ujanja ugeuka ujinga.
ππ
#Usimlilie msaliti, kumbuka, Mungu amekupa uhai na nguvu ukaishi.
Unaweza kuishi bila yeye.
ππ
#Kwa kawaida msaliti huisi wengine kuwa wasaliti, na muongo hudumu kuwaza kudanganywa.
ππ
#Kama unamsaliti mwanamke aliye tayari kuwa nawe katika hali yoyote basi unajisaliti wewe mwenyewe na maisha yako.
JIFUNZE UAMINIFU
ππ
#Kama unayo mahusiano na mpenzi wa mtu, usishangie akikuacha na kuyaanzisha kwa mwingine tena.
ππ
#Kila mtu anazo hisia za mapenzi lakini hisia hizi hazipo kwa ajiri ya kuchezewa na wasanii.
ππ
#Bora kulala mwenyewe kuliko kulala na mtu ambaye wakati haupo hulala na wengine pia.
ππππ
#Unafahamu kabisa kuwa ungekuwa wewe umesalitiwa usinge msamehe, kwanini wewe unahangaika kulia na kuomba msamaha baada ya kufumaniwa?
ππ
#Ikiwa unao muda wa kutosha katika usaliti, unao pia muda wa kutosha kujifunza uaminifu.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: