LADIES NISIKILIZENU DADA YENU.
LADIES
Kupika unajua sana tuu tena chakula kizuri mnoo, unajua kufua, wewe ni msafi sana mshindi wa dunia nzima, wewe ni mzuri tena mrembo mwenye kila aina ya sifa tena umepitiliza, wewe ni mpole mnoo kila mtu anakujua kwa moyo wako mkarimu sana tuu, wewe ni mtaalamu sana wa mavazi na mitindo ya kisasa hadi yenye gharama kubwa kila anaekutazama anakuonea donge. Ila kaa ukijua sifa zote hizo zisikufanye upoteze utu wako na kuwa jamvi la wageni.
Ukijirahisi sana kuvua chupi kwa wanaume hutokaa upate heshima ya Dunia, wala Jamiii inayokuzunguka pamoja na familia yako. Tunza sifa zako kwaaji ya mumeo mtarajiwa, achana na uraghai wa wanaume wakware ambao wanalengo la kukupotezea na kuishusha thamani yako.
Ukitumia ubora wako kama kigezo cha kuonesha uhodari wako kwa wanaume wakware, NDOA utazisikilizia kwa majirani na utaishia kuwa mgeni muarikwa kwenye ndoa za wenzio. Heshimu mwili wako na kuutunza kama mboni za macho yako.
Share
Like Page
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: