UANAUME HAUKAI KWENYE SURUALI UANAUME TAFSIRI YAKE NI HIVI,,,!

*Uanaume haukai kwenye suruali Uanaume tafsiri yake ni "Kuishi na Mwanamke kwa akili kiasi kwamba Mwanamke abaki akikuheshimu na akikupenda na akiishi na wewe kwa furaha.*
*Sometimes, wanaume kuna kipindi wanapitia mambo mazito sana na mara nyingi wanakufa navyo moyoni kulinda furaha yetu sisi watupendao, Hivyo wakirudi Nyumbani huwa wanatafuta faraja ya nafsi na tulizo la moyo na sio kelele.*


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.