Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli ila sasa jaribu kumchukulia poa wakati wote uone matokeo yake.

Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli ila sasa jaribu kumchukulia poa wakati wote uone matokeo yake.
Hao hao wanaopenda kweli usidhani ni wajinga ukaendelea kumfanyia maovu. Anafaham vizuri thamani ya penzi lake na ndo maana maovu yako yakizidi utaona tuu anaondoka kwa vitendo na sio maneno.
Hapo utakuwa sio umempoteza tuu mtu bali umepoteza na upendo pia. Tambua upendo ni ngumu kuupata hivyo ukipendwa basi tulia na ishi kwenye misingi ya upendo ili muweze kudumu pamoja.
"


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.