USIKUBALI KUSHAURIWA KUFANYA MAAMUZI YA NDOA KABLA HUJAWA TAYARI

wengi wameoa/olewa lakini ni wachache wenye ndoa zenye Furaha. Mke mwema ama mume mwenye Hekima hutoka kwa Mungu na hawatokani na Pressure ya marafiki, familia au wazazi.
Usikubali pressure yoyote ikakuendesha kufanya maamuzi ya ndoa ambayo utakuja kuyajutia. Kwa sababu katika Ndoa hakuna jipya sana, isipokuwa maisha huendelea kama kawaida.
Wekeza akili yako katika kujijenga wewe binafsi, fanya kazi zako na mtumainie Mungu wako, furahia maisha yako ya Usingle..Ndoa njema itakuja na kukufuata pale ulipo ukiwa busy na shughuli zako!
Usijihisi umechelewa ama hauendi na wakati kwa maana Wakati wa Mungu ndio ulio sahihi zaidi.
You don't owe anyone a husband or a wife!

Image may contain: 1 person, outdoor


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.