Mwanamke hivi unajua kuwa MWANAUME ANASIKIA RAHA ZAIDI AKIKUTAZAMA KABLA HATA HUJAMPA NAFASI YA KUUTAZAMA UTUPU WAKO.

Mwanamke fahamu jambo hili litakulinda daima;
Mimi sijui kama ni TEMBEA YAKO ama ni vile UNAVUTIA😂😂
Image result for MAISHA YA UPENDO YA MUME & MKE YANAJIONYESHA KWA MAMBO YAFUATAYOInawezekana Mwanaume akakupenda zaidi hata kabla ya kumvulia nguo👙
Kuamini hilo ni wewe mwenyewe kujiuliza MWANAUME ALIKUPA AMANI WAKATI UPI KATI YA KABLA HUJAMVULIA NGUO AMA WAKATI UMEMVULIA NGUO😂😂
Japo najua udhaifu wa Mwanaume ndo maana naweza kukiri wazi MWANAMKE HUMPENDA MWANAMKE KABLA YA KULALA NAE💯 na akiisha kuwa amelala nae HUKINAI maana yawezekana hakuna jipya baada ya kupata lililo hitimisho ðŸ‘™
Muda Mwingine haya MAPENZI ni kama BAHATI unaweza kuwa huna wazo la kuingia penzini lakini akaja Mtu wa hisia zako ukajikuta UMEZAMAAAAA👌
Lakini usiyajaribu MAPENZI kwani yakiwa sio yako utapata taabu sana, Maana KIPENDA ROHO KULA NYAMA MBICHI ila nikwambie wazi ni hasara kubwa KUPENDA USIPOPENDWA😭😭
#Elista_kasema_ila_sio_sheria ðŸ”¨

Image may contain: one or more people, people standing and outdoor


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.