NAUMIA SANA NA STORI NAZOSIKIA KUHUSU MPENZI WANGU KURUKA UKUTA
Kupenda kunaumiza kama hujawahi kupenda na usitamani kupenda kwa kweli ..na mpenzi wangu kwa kweli mtoto mashalaaa kaumbika na kajaliwa kiukweli yeye ananipenda sana kuna siku alinitamkia chochote nachotaka atanipa ili mradi nisimpoteze ..
Sasa uyu nilikua na malengo nae aje awe mke sasa naingiwa na hofu unaeza oa mke anaefanya huo uchafu? sasa heshima si itashuka jamani? nifanyeje?
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments: