NAHISI MKE WANGU ANATOKA KIMAPENZI NA MPANGAJI WANGU, USHAURI


Kwa dalili hizi nahisi jamaa amependwa. Na sijui kama bado hajapewa mzigo.

Dalili zenyewe ni hizi

1. Mke wangu haishi kusifu maisha ya jamaa, japo Ni ya kawaida tu.

2. Haishi kusifia michepuko / mademu anaoingiza na kubadilisha kila day.

3. Mke wangu alipoondoka jamaa alitaka kuniulizia akasita.


4. Yule mwanangu mdogo anapenda kwenda kule kwenye chumba Cha jamaa. Na mke wangu utamsikia mwa huyu kaka anapenda watoto kweli...

5. Jamaa akiniona ana Kama aibu flani hivi na anawahi kunisalimia kwa ka woga hivi


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.