MPENZI WAKO AKIVUA CHUPI, USIFANYE VITU HIVI 5






Upo kitandani na mpenzi wako tayari kwa ajili ya chakula cha wakubwa, kupeana mambo matamu.

Epuka kufanya mambo haya 5 mara baada ya mpenzi wako kuvua nguo zake na kuona utupu wake.

1. Usishtuke au kutoa kashfa pale unapoona kitu cha tofauti kwake, mfano hajanyoa sehemu za siri.

Hii huwa ni chanzo cha wapenzi wengi kupoteza mood ya mapenzi, kwa sababu anahisi umemdharau.

Pia inamfanya mpenzi wako ajihisi vibaya, inamkosesha raha kabisa na anaweza akashindwa kitandani.

Hivyo, badala ya kuropoka, zuia kinywa chako uwapo kitandani na mpenzi wako, ili ajivunie kuwa na wewe.

2. Usimwambie mpenzi wako kuwa una haraka, au kuna sehemu fulani unawahi hivyo afanye haraka.

Hii hufanywa sana na baadhi ya wanawake, utakuta mara baada ya kufika tu anakwambia ana haraka.

Yaani hadi unajiuliza, kama ana haraka kwa nini amekuja? Au amefuata tu zawadi ambazo ulimuahidi.

Yaani hii ni tafsiri tosha kuwa mpenzi wako hapendi kutumia muda mwingi na wewe au hana hisia za ukaribu.

3. Usimbake mpenzi wako, hakikisha unamuandaa vya kutosha ili awe tayari kufanya mapenzi na wewe.

Sio ile amevua nguo tu tayari umeshamvamia, unataka kuingiza uume, hiyo ni sawa na kumbaka.

Chukua muda wako, fanya utalii katika mwili wake, furahia kuchezea maeneo mbalimbali ya mwili wake.

Hadi pale akiwa hisia zimempanda zaidi ndio unaweza kuomba au kumwambia mfanye mapenzi.

4. Usianze kumlinganisha na mpenzi wako wa zamani au mtu mwingine kwa mwonekano wake wa kimwili.

Kama hana shanga kiunoni, usianze kusema mtu fulani huwa anavaa shanga kiunoni, unamuharibu.

Cha msingi, upo naye sasa, hivyo hutakiwi kuanza kumlinganisha na mtu mwingine wa zamani au sasa.

Kumzungumzia mpenzi mwingine wakati wewe ndio upo naye sasa ni kosa kubwa sana katika mahusiano.

5. Usianze kufanya mambo ambayo yapo nje ya mahaba, mfano kuanza kuchezea simu yako kitandani.

Yaani mpenzi wako yupo utupu kitandani, wewe upo bize na simu yako unachati na watu wengine.

Hii ni hatari sana katika mahusiano, kwanza anaweza kuhisi unamdharau au hauna hamu naye.

Hivyo ukiwa naye kitandani, hakikisha unampa muda, usichezee simu yako, utamboa mpenzi wako.





(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.