Kama kutoa Mimba Ni kosa nchini Tanzania basi wema sepetu Akamatwe

Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba , kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba ( bado haijafahamika sababu ya kufanya unyama huo )
Bali kinachofahamika ni kwamba Nchini Tanzania ni kosa kisheria kutoa mimba , na yuko daktari wa Hospitali ya meno ya Sinza ambaye amepewa kesi ya utakatishaji pesa tsh laki 2 na elfu sitini kwa tuhuma za utoaji mimba .

Kwanini Wema Sepetu aliyekiri mwenyewe hadharani kuchoropoa mimba mbili za Kanumba asikamatwe na kushitakiwa ?






(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.