Hauhitaji kuwa sahihi muda wote ila unahitaji kuwa Bora kwa mwenzi wako
.
Kila mtu anapenda kukubaliwa kwa kile kizuri anachofanya, tumia tabia hii kwenye mahusiano yako ili kuyaboresha zaidi. Mkubali na kumsifia mwenzako kwa yale mazuri anayofanya, atafurahi na kufanya zaidi.
.
Siyo lazima uwe sahihi mara zote, wakati mwingine unahitaji kuacha kuwa sahihi ili tu muweze kuelewana na mwenzako. Furaha siyo kuwa sahihi wakati wote, bali kuweza kwenda vizuri na wengine wakati wote.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: