CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 10(inaendelea ilipoishia...)






“P. Leo zamu yangu maana nasikia ulimkata Tuse kiu chake chote cha kufanya ngono. Na mimi nataka maana nahisi nina pepo la ngono, hakuna mwanaume aliyewahi kunifanya nikajihisi hilo pepo limetoka. Ila baada ya Tuse kunihadithia kitu kilichotokea,nikahisi wewe ndiye hasa utakayelifanya ili pepo litulie japo kwa wiki”.Alianza mama yule kuongea huku macho na sauti yake vikiwa vimelegea kama kasikia habari nzuri kutoka kwa mumewe.
“Sasa mama,wewe si una mume?.Si mume tu! Huyu si ni mtoto wako?Mbona huoni aibu? Yaani unajianika ukiwa uchi na mtoto wako,nini maana yake? Kha! Nyie ni watu gani aisee,hata kama ni biashara,hii yenu ni too much,loh!”. Niliongea kwa hamaki huku bado nikiwa nimeganda pale-pale mlangoni,na mama Tuse akiwa mbele yangu”.
“Jambo usilolijua,ni kama usiku wa giza Prince. Nilikuwa sikuhitaji hata kidogo katika mapenzi,ila nilichoambiwa na Tuse,kimenifanya niwe muhitaji wa penzi lako”.Mama yule aliendelea kuniongelesha kwa sauti yake ya puani,lakini na mimi bado nikawa naendelea kupambana naye kwa maswali.
“Wewe una mume au hauna?”.Nilimuuliza.
“Huo ndio usiku wa giza nao-uzungumzia”.Akanijibu kimafumbo.
“Nitoe sasa,nipeleke mchana”.Mama Tuse alimwangalia Tuse aliyekuwa kitandani,na Tuse naye akamuoneshea ishara yule mama kuwa aendelee kuongea na mimi,yaani aniambie ukweli ambao yeye anauita giza.
“Nakwambia kwa sababu nahitaji huduma yako,kama si hivyo,ungeendelea na mambo yako huku ukiwa una mawazo hayo hayo kuhusu mimi na hii familia. Ila kabla sijaanza kukwambia chochote,niahidi hii kuwa siri”.
“Nakuahidi itakuwa siri”.
“Na niahidi kuwa utanipa nachohitaji baada ya kuujua ukweli”.
“Kama nikiridhika,nitafanya ila si kama kwa Tuse”.
“Si kama kwa Tuse kivipi?”.
“Itabidi Tuse anisaidie kufanya hivyo ili hata nikiondoka,msinisahau na mnienzi”.Baada ya maneno hayo,Mama Tuse aliinama chini kama anafikiria kitu na kisha akanyanyua uso wake,akanishika mkono na kunivuta hadi pale kwenye kitanda alichokuwepo Tuse.Akanikalisha na yeye akakaa na kuanza kuongea na mimi.
“Sikiliza Prince. Hakuna anayejua maisha ya mwenzake hadi pale jambo litakapomkuta. Haya maisha yaonage hivi-hivi kuliko yakukute wewe. Maisha tunayoishi sisi,siyo maisha ya kuishi binadam hata kidogo,nasema tena,si ya kuishi binadamu hata kidogo. Lakini kwa kuwa tumeumbiwa maisha haya,basi hatuna budi kushukuru hata kwa hichi tunachoishi.
Wewe ni kijana mzuri na muelewa sana.Tangu ile siku baba wa huyu alivyokupiga,roho yangu ilijaa huruma sana. Hakupasa kukufanyia vile kwani umebarikiwa sana we kijana. Unajua jinsi ya kumlegeza mtu kwa maneno na kumfanya ajisikie mwenye hekima. Kama si tabia za ajabu tulizonazo sisi,ningekuomba umuoe Tuse,lakini haiwezekani,sisi ni kama Mashetani wadogo.

****

:: Inaonekana Prince kamkuna sana huyo mama kwa manjonjo yake, je ni kweli itakuwa siri?

:: Usikose Episode ya 11.......





(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.